Sheria ya kuanzishwa kwa vyama vya siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya kuanzishwa kwa vyama vya siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TECHMAN, Jan 13, 2012.

 1. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Je sheria ya vyama vya siasa zanibar ni tofauti na ya muungano?


  Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inasema

  (2) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) haitakuwa
  halali kwa chombo chochote cha siasa kuandikishwa ambacho
  kutokana na Katiba au sera yake-

  (d) kinapigania au kinakusudia kuendesha shughuli zake
  za kisiasa katika sehemu moja tu ya Jamhuri ya Muungano;


  SWALI: kuna vyama vya kisiasa Zanzibari ambavyo haviko bara kabisa kama chama cha wakulima, jahazi asilia, nk why?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ngoja waje wenyewe mimi chadema yangu inakidhi matakwa ya kikatiba.
   
Loading...