RIP Eliasi mtiga nkuku (Kamishna wa fedha na utawala Jeshi la Magereza ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RIP Eliasi mtiga nkuku (Kamishna wa fedha na utawala Jeshi la Magereza )

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makyomwango, Jan 13, 2012.

 1. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana jamii leo hii mkuu wa kaya ameongoza maafisa wa majeshi ya ulinzi na usalama katika kumuaga Kamishna Nkuku ambaye ametutoka hivi majuzi. Jamaa huyu alikuwa mchapa kazi kwelikweli na amekuwa tegemeo kubwa katika jeshi hilo kwani amekua haogopi kuchukua maamuzi magumu. Alikuwa anaijua kazi yake na aliweza kuimudu

  R. I . P Kamishna Nkuku
   
 2. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Apumzike kwa Amani. Poleni sana wafiwa.
   
Loading...