Fuatilia mjadala wa katiba unaoendelea hivi sasa Arumeru Magharibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fuatilia mjadala wa katiba unaoendelea hivi sasa Arumeru Magharibi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Darick, Jan 13, 2012.

 1. D

  Darick JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wana JF ni wakati mwingine wa kufuatilia mjadalal wa katiba ambao kwa sasa unaendelea katika ukumbi wa chuo cha Bibllia Arusha kilichoko Ngaramtoni Arusha. Mjadala ambao unaendeshwa na Shirika la ANGONET. Watu ndo wanaendelea kuingia na wageni mbalimbali wanajitambulisha naomba fuatilia na mimi nitakuwepo kukujuza.

  Nawakilisha
   
 2. D

  Darick JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kiongozi anayejulikana kama Petro anafafanua maana ya katiba.
   
 3. D

  Darick JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anaendelea kueleza kuhusu aina tofauti za katiba mfano written and unwritten o=constitutions.
   
 4. O

  Olookule Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uelewa wa watu wa hapo sasa ndio tatizo na hapo ndio chama cha magamba wanapochukulia advantage
   
 5. D

  Darick JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anaendelea kusema kuwa katiba inapaswa kuwa imetengenezwa kwa uwakilishi wa watu wengi. watu wanaendelea kuingia ukumbini na wwanahabari wanaendelea kuchukua habari
   
 6. D

  Darick JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sawa kaka lakini hatutakiwi kukata tamaa tunatakiwa kuendelea kuwaamsha hawa nduguzetu mwishowe wataelewa! kwani sehemu zote za nchi ambazo sasa tunaona wanauelewa wa hali ya juu walianzeje?
   
 7. D

  Darick JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watoa mada wanaendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa katiba, naendelea kusisitiza kuwa naomba mfuatilie
   
 8. D

  Darick JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anatusomea sheria ya mabadiliko ya katiba iliyotiwa saini hivi karibuni na Kikwete[​IMG]
   

  Attached Files:

 9. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tupo pamoja mkuu , tunafuatilia...!
   
 10. D

  Darick JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
 11. D

  Darick JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo juu nimeattach photos za washiriki mdahalo wa katiba crashwise uko wapi ebu toa maoni yako1
   
 12. D

  Darick JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau Watoa Mada wanaendelea kuelezea madhaifu ya sheria ya kuweka utaratibu wa kutoa maoni juu ya uandikaji wa katiba mpya, anatoa maelezo kifungu abaada ya kifungu, anasema tume, zinazoundwa na maraisi zimekuwa zikiundwa kwa muda mrefu lakini hazikutusaidia, pia anaeleza kuwa kuna sheria kali sana hasa klifungu cha 21 ambacho kinasema ukimzuia mjumbe wa tume kutekeleza majukumu yake atatoa faini ya sh 5000000 au kufungwa miazi kumi na mbili. anasema hiyo ni sheria kandamizi na ya kikoloni.
   
 13. D

  Darick JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nashukuru mdau kwa kuwa pamoja
   
 14. D

  Darick JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Muda mfupi kabla ya sasa wimbo wa taifa uliimbwa na watu wakapata fursa ya kuuza na kutoa maoni watu wengi wanasema kuwa suala la raisi kupewa madaraka makubwa katika suala na tayari imeshasainiwa kuwa sheria maoni yetu yatasaidia nini ikiwa hatukupewa nafasi kabla haijawa sheria? watu wanaona kuwa kwa kusainiwa ile sheria hawaoni kuwa kutaleta mabadiliko yoyote. kwa maoni yao walitaka washirikishwe kuanzia ngazi ya halmashauri kabla haijasainiwa ila kwa hali ya sasa hakuna watakachodilisha. Mshiriki mmoja anasema itafutwe namana ya kumshauri raisi asiitekeleze hiyo sheria kwanza.
   
 15. D

  Darick JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pia walizungumzia usaliti wa wawakilishi wetu yaani wabungge licha ya kuwa ndiyo wawakilishi wa wananchi lakini wamepitisha sheria hiyo feki, na hawako upande wa wananchi, watu wanashauri kuwa wabunge wa bunge la jamuhuri wa muungano wasiwe wajumbe wa kamati hiyo kwani kama wameweza kutusaliti katika hatua ya mwanzo watawezaje kutusaidia kupata katiba nzuri?
   
 16. D

  Darick JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kifungu cha 38 mshiriki anasema hiyo sheria inasema kuanza kutumia katiba mpya kama mchakato utaenda ilivyopangwa itaanza kutumika kwa muda utakaofaa. na pia inasema raisi ataruhusu katiba itumike kwa namana atakavyoona inafaa. wanasema kifungu hicho kina utata.
   
 17. D

  Darick JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mtoa mada anasema lugha hii haija weka wazi kuwa ni kwa namna gani ataona inafaa au haifai je ikiwa bunge la katiba likipitisha katiba na maoni ya watu yakawa upande wa katiba nini kinacho mzuia raisi kuzuia katiba hiyo ikiwa raisi haipendi?
   
 18. D

  Darick JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mtoa mada anatoa mfano wa sherehe za miaka hamsini kuwa zimetumia pesa nyingi ilihali maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu
   
 19. D

  Darick JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anasema baada ya kupitishwa kwa katiba mpya iundwe sheria itakayosimamia utekelezaji wa katiba mpya na bunge la katiba liwe ndilo litakalo tunga sheria hiyo na siyo hili la kichina
   
 20. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  More updates!
   
Loading...