Kumbe Mwanza NCCR Mageuzi ipo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Mwanza NCCR Mageuzi ipo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Jan 13, 2012.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi,habarini za leo?Za majukumu?Si utani,leo ktk kata ya Pasiansi nimekuta mkutano wa NCCR-Mageuzi,viongozi wanahutubia.Ajenda kuu ni Kafulila kwamba ameshajinyonga mwenyewe kisiasa.Na taarifa ni kwamba mahakama imekubali rufaa ya Kafulila,hivi jopo la viongozi 8 wa kamati kuu za vyama wanaweza kumng'oa mbunge aliyechaguliwa na watu zaidi ya 30,000 kwamba hawa ni wehu na sisi 8 tuna akili.Basi nina wazo,wale"CC ya Gambaz " wamfukuze uanachama Baba Riz halafu apoteze sifa na dhamana ya kuwa "Mkuu wa inchi" Mnasemaje wanajanvi?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  weka picha..
   
 3. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ulilala wapi jana? kwa kimada nini au umeamka nazo?
  anyway shukrani kwa taarifa ya kuwapo kwa NCCR Mageuzi Mwanza.
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kichwa cha habari na mada hata haviendani,kama NCCR ipo mwanza we ulitakaje?? isiwepo? au wewe ndo mke wa tendwa? kaifute basi mwanza ibaki kwenu make habari zengine upupu mtupu! afu usisahau kwenda kukojoa na ukalale ***** we
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ni kweli wapo Mwamza, niliwasikia jana wakitangaza kuwepo mkutano kata ya pasiansi, na kumtaja Moses Machali kuwa ni kijana machachali, wengi mtaani kwetu walisema, hawa nao wamekuja kufanya nini?
   
 6. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mikutano ni haki yao, je inatija kama ya cdm?
   
 7. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du umejitahidi!Ongeza bidii.Kumbe unajitambulisha kwa namna ulivyochangia.
   
Loading...