Mnajua malaika wanalipwa sh ngapi??au sababu wabunge wanaonyeshwa kwenye tv-Ndungai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnajua malaika wanalipwa sh ngapi??au sababu wabunge wanaonyeshwa kwenye tv-Ndungai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jan 17, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,508
  Likes Received: 5,740
  Trophy Points: 280
  Unajua katika watu wanaoshangaza pale dom ni huy bwana jamani. Kwa waliomtuma ama kumsaidia kujibu swala la posho naamini
  hatomfwata tena

  Ati aanashabikia posho za wabunge na kusema mnajua makampuni ya umma wanalipana sh ngapi kwa saaa. Nini bunge bana ama sababu tunaonyeshwa kwenye tv?

  Aisee akawa bado kidogo aseme mbona hivi ni vijisenti tu mlivyosikia mngepewa hela zote tunazopokea si mngepiga kelele kabisaaaaaaaaaaaaaaa

  loh bunge mna kazi jamani
   
 2. c

  cesc Senior Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhh....ni sooo...
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  je tukijua ndio tuhalalishe? Ajibu hoja yake sio kujibia wengine
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mimi nilimfuruhia sana kwani jamaa pamoja na kuonyesha kukiri kosa lakini pia aliweza kutufungua macho wengi ambao tulikuwa hatujui utumbo unaofanyika huko serikalini. Asante sana Ndugai, nilikipenda sana kipindi chako kile.
  alihoji hivi, hivi mnajua kilichopo TRA, Bandari, Tanapa nk. Again, asante sana ndugai wanobeza hawo ni wajinga.
   
 5. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mcba huo
   
 6. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Wabunge wanakazi ngumu bana wacha wachote na wao wana miaka mi 5 tu wacha wachukue nawao wapunguze njaa
   
 7. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamaha ni mpumbavu sijawahi kuona,hasara kubwa kwa taifa!hata watu wanamsupport comments zao zinaonekana ni below a thnking capacity
   
 8. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jamani hii heading mbona haina relation yeyote na uzi wenyewe?
   
 9. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huyu bwana badala aseme bunge linafanya nini kuibana serikali na ufisadi wa kujilipa mamilioni kwa saa, anauliza wananchi mnajua bandari, tanapa, tra nk wanalipanaje! upuuzi mtupu... ngoja tuendelee kupima pumba zake mpaka 2015 halafu tutajua la kufanya
   
 10. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  huu ujinga ndio hali halisi ya viongozi wetu "unafanya makosa na kwa kujitetea unasema mahakamani kwa kudai kosa lako ni dogo kuliko fulani. na kwa wabunge kama hawa tutarajie nini? hili si balaa kabisa, hicho ndiyo chombo cha kupitisha na kutunga sheria zikiwemo taratibu za mafao mbalimbali, na leo anatoa madai kana kwamba anashangaa (ushenzi mtupu)
   
 11. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mkiona posho zinawanyima usingizi gombeeni ubunge na nyie muone shughuli iliyopo.
   
 12. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Tatizo la nchi yetu ni wanasiasa kugeuza madaraka ya kisiasa kama mtaji wa kupata pesa na mali. Na hii kitu imeota mizizi karibia vyama vyote! Umewahi jiuliza hivi CCM ikishindwa uchaguzi,hawa maelfu ya makada wake wataendeshaje maisha yao?
   
 13. W

  We know next JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani ana hoja ya msingi...azidi kufuatiliwa anaweza kutufungua macho zaidi, maana Tanzania ioe umebaki kumwagiana ugali na mboga tu sasa. Hembu endeleeni kumfuatilia huyu atoe ufafanuzi zaidi.
   
 14. l

  laun Senior Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anamaanisha hivi, mwenzako akijisaidia hadharani na wewe ufanye hivyo hivyo
  Poleni watz
   
 15. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Anajibu vyovyote atakavyo hata bila Woga kwa sababu anajua wengi wa Watanzania hawana uelewa wowote zaidi zaidi wamekalia ushabiki tu wa kisiasa. Kwa hiyo anajua kwamba kuna wajinga wanaojiita wao ni ccm damu, ambao watawapa kura tu hata wakijisaidia kwenye sufuria zao za kupikia ugali. Laiti kwamba angekuwa anajua kuwa kila neno anololitamka lina impact kisiasa kwake na kwa chama chake, asingezungumza maneno utadhani amebanwa na haja ngumu.
   
 16. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimekipenda kikatuni cha Masoud Kipanya ndani ya gazeti la mwananchi la leo kikiwa na ujumbe kwamba watanzania tumelala sana kiasi kwamba hata mtu akichukuliwa mkewe bado hatafanya lolote zaidi ya kuishia kulalama tu. Upuuzi mwingi unafanywa na viongozi wetu na wanongea waziwazi ila nobody cares. Taaria kama hizi anazotoa huyu bwana sio za kunyamazia kimya!
   
Loading...