Kushangiliwa kwa Kafulila kwenye Msiba wa Regia kunaashiria nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushangiliwa kwa Kafulila kwenye Msiba wa Regia kunaashiria nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Said Bagaile, Jan 17, 2012.

 1. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwapo kwenye viwanja vya Karimjee katika kumuaga Shujaa wetu Mh. Regia Mtema. Ni viongozi wengi walikuwapo, kuanzia wa Serikali pamoja na Waziri Mkuu ni Makamu wa Rais. Pia Mawaziri, Wabunge, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa Majeshi ya Polisi, n.k n.k.
  Kilichonishangaza ni pale yalipokuwa yanasomwa majina ya Wawakilishi wa vyama vya Siasa ambao watalipiwa na Ofisi ya Bunge na kwamba wameteuliwa na Bunge kuwakilisha kwenye Mazishi hayo huko Ifakara. Pamoja na Kutajwa majina ya Wabunge mbalimbali wa CCM na Upinzani, Viwanja viliripuka pale Jina la Kafulila lilipotamkwa kama mmoja wa Wabunge watakaoiwakilisha NCCR Mageuzi kwenye Maziko hayo.
  Bado najiuliza, Je kushangiliwa kwa Mh. Kafulila, kulikuwa kunatoa Ujumbe gani kwa akina James Mbatia ambaye tulikuwa nae pale viwanjani?

  Mwenye Macho haambiwi Ona!
   
 2. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe unahisi nini?
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ......kwamba uamuzi wa akina MBATIA waliouchukua dhidi ya KAFULILA ni batili.
   
 4. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Kwamba watanzania walio wengi wa,eshindwa kuvumilia kuona vyama vya upinzani vikitumia sheria kandamizi zilizowekwa na CCM dhidi ya wabunge na wananchama wao. Watanzania wameshatambua kuwa hizo sheria kandamizi ndio chimbuko ya matatizo yote tuliyonayo hapa nchini ambapo kwa kuhofia chama wabunge wananshindwa kutimiza wajibu wao wa kuihoji Serikali iliyoko madarakani
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  maana yake ofisi ya bunge bado inamtambua kama mbuge halali
   
 6. Abbyrobby

  Abbyrobby Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Sura ya Mbatia ilipobadilika pale ndio watu wakaanza miguno na wengine kushangilia
   
 7. Mwamikili

  Mwamikili JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 416
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  kwenye red hiki kitu niliwahi kukisema kwenye post ya Nape Nauye alipo post kuhusiana na kafulila kufukuzwa kwamba anauchungu na rasilimali zetu wakati wao ccm ndio waanzilishi wa hivi vitu ili ukijifanya kuongea wanakuminya mdogo, cha kushangaza nape aliifutilia mbali post yangu! na hilo ndio tatizo la mnafiki hataki kuwa critisezed! si tumeshuhudia na yeye jinsi alivyominywa n el dodoma

  JESHI PEKEE NDILO LITUONGOZE TUPATE MAENDELEO NA SIO WANASIASA!
   
 8. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Suala la KAFULILA ni gumu kulizungumzia kwani kwa wengine wataanza kuona nimefika mbali sana. Ndugu yangu Tanzania tuna ombwe la vyama vya siasa upande wa upinzani. Viongozi wa vyama vya siasa Tanzania wamejaa ubinafsi na ubwana mkubwa tupu. Mfano CUF una habari ktk maamuzi maalimu Seif na prof. Lipumba wanajifanyia kama "kampuni yao". Ona namna RASHIDI M. Walivyomtoa sadaka kwa zengwe na fitna za wazi. Kumbuka pia prof. Abdala safari alichofanyiwa ktk uchaguzi uliopita wa kumchagua mwenyekiti taifa. Nenda CHADEMA pale bwana mdogo Zitto alipotaka kuchukua nafasi ya "CHIFU". Ah! Inatosha ndugu yangu. Bad naration but fact.
   
 9. L

  Luiz JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina ashiria wamekalia ushabik badala ya kuelewa mambo, bunge bdo halijamtangaza rasm kama si mbunge, sasa kinachowafanya washangilie ni kitu gan,
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Kafulila ni m2 makini kwani hata hoja aloitoa kuwa mbatia ni kibaraka wa ccm ni ya kweli na ina umuhimu kwa wanamageuzi wote, zas y hata alipotajwa jina hapo mazishini wa2 wakamshangilia" keep t up KAFULILA nd welcom again CDM.
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,636
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Ni salamu kwa lile boflo kuwa limejimix, huko mbele ya safari itakula kwake.
   
 12. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  hapo ndipo wanaponichoza wapinzani.. siasa hadi ,msibani
   
 13. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni ishara ya watu mkubali Kafulila.NCCR watafute fitina nyingne.
  Ni sawa na ile quote" watu hawa wakinyamza mawe yatapiga kelele"
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kafulila, ndio aliompeleka Chadema marehemu Regia Mtema...
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  shangwe na vigelegele msibani!?@*!?
   
 16. helena

  helena Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaashiria kukubalika kwake ktk jamii
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280
  ukilala na mwanamume usiku kucha alafu kesho asbh unamwita malaya yule ajui hata kukatika
  huoni wote mnaonekana malaya ??jibu unalo
   
 18. M

  Molemo JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Magamba utamjua tu.Asipofitinisha chadema hapati amani
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo?
   
 20. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Ya Ngoswe............................
   
Loading...