Wawi kuandamana kesho kupongeza maamuzi ya CUF

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Kesho 18/01/2012: Kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na wanachama wa CUF Jimbo la Wawi-Zanzibar yatakayoanza saa 2:00 asubuhi Tawi la CUF Vumba, na kumalizikia kiwanja cha mpira -Vumba kwa lengo la kupongeza baraza kuu la CUF kuwafukuza waasi wa chama hicho akiwemo aliyekuwa mbunge wa chama hicho Hamad Rashid.Maandamano Yatapokewa kwa kufanyika mkutano wa Hadhara utakaohutubiwa na Mjumbe wa Baraza Kuu, ambaye pia ni Waziri wa Afya Z'bar Mhe.Juma Duni (Babu).
 
Huyu mbunge (HAMAD RASHID) kuna wakati hua namwona kama mroho wa madaraka. Hii ni baada ya kukosa uongozi kambi ya upinzani bungeni.
 
Kesho 18/01/2012: Kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na wanachama wa CUF Jimbo la Wawi-Zanzibar yatakayoanza saa 2:00 asubuhi Tawi la CUF Vumba, na kumalizikia kiwanja cha mpira -Vumba kwa lengo la kupongeza baraza kuu la CUF kuwafukuza waasi wa chama hicho akiwemo aliyekuwa mbunge wa chama hicho Hamad Rashid.Maandamano Yatapokewa kwa kufanyika mkutano wa Hadhara utakaohutubiwa na Mjumbe wa Baraza Kuu, ambaye pia ni Waziri wa Afya Z'bar Mhe.Juma Duni (Babu).

Mkuu ni kweli? Mbona siku zote CUF wanaandamana siku ya Ijumaa?
 
ijumaa hii kuna maandamano mengine makubwa huko Ndanda, kumngoa mkuu wa shule anaetumia kanisa kutaka kuwakandamiza waislam. jitokeze uunge mkono

Si huwa mnasema chadema huwa ni chama kisichopenda amani na ni chama cha wahuni eti kwa sababu ya MAANDAMANO " sasa je na dini ambayo inafanya maandamano nayo pia inafaa kuitwa dini ya wasiopenda amani na dini ya wahuni? Kama si hvyo basi inabidi muelewe kwamba" MBONA UNATAZAMA KIBANZI KILICHOPO KTK JICHO LA MWENZAKO ILIHALI HUONI BORITI ILIYOPO KWENYE CHICHO LAKO? MNAFIKI WW TOA KWANZA BORITI ILIYOPO NDANI YA JICHO LAKO NDIPO UTOE KIBANZI KILICHOPO KWENYE JICHO LAKO LA MWENZAKO"
 
Yule aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Dr. Mabunduki

Usidanganye umma ww, na wakati maandamano ya waislamu huko ndanda yataongozwa na kamati kuu( NEC) ya CUF ambayo itaongozwa na mashehk wafuatao maalif seif, Jussa, mnyaa, babu nk but shehk mkuu lipumba hatakuwepo. So tunaomba wote mtuunge mkono. HAKI................................ SAWA KWA WAPEMBA........., hiyo ndo slogan ya cuf instead of " haki sawa wote"
 
Kesho 18/01/2012: Kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na wanachama wa CUF Jimbo la Wawi-Zanzibar yatakayoanza saa 2:00 asubuhi Tawi la CUF Vumba, na kumalizikia kiwanja cha mpira -Vumba kwa lengo la kupongeza baraza kuu la CUF kuwafukuza waasi wa chama hicho akiwemo aliyekuwa mbunge wa chama hicho Hamad Rashid.Maandamano Yatapokewa kwa kufanyika mkutano wa Hadhara utakaohutubiwa na Mjumbe wa Baraza Kuu, ambaye pia ni Waziri wa Afya Z'bar Mhe.Juma Duni (Babu).

Hapo kweli atabaki kuwa mbunge wa mahakama
 
hizi tunapinga mfumo kristo, nyinyi mnataka chai ikulu.

Ha ha ha ha................" dah!!!! Yani We mwanamke una tabu kweli kweli..., yani dei haipiti bila kuitaja CDM. Basi mi nadhani mme wako ana kazi sana koz huwez kulala pasipo kumtaja DR ambaye ye ni mme wa Josephine! Usipoangalia utaachwa na ndoa yako ya magamba. Tchaooooooooooooo.
 
ijumaa hii kuna maandamano mengine makubwa huko Ndanda, kumngoa mkuu wa shule anaetumia kanisa kutaka kuwakandamiza waislam. jitokeze uunge mkono

Mpewa viongozi watano wa juu kuwa ni waislamu, bado mnataka hadi wakuu wa sekondari wawe waislamu. huwa siamini kwenye udini lakini wewe umezidi
 
Usidanganye umma ww, na wakati maandamano ya waislamu huko ndanda yataongozwa na kamati kuu( NEC) ya CUF ambayo itaongozwa na mashehk wafuatao maalif seif, Jussa, mnyaa, babu nk but shehk mkuu lipumba hatakuwepo. So tunaomba wote mtuunge mkono. HAKI................................ SAWA KWA WAPEMBA........., hiyo ndo slogan ya cuf instead of " haki sawa wote"
Hivi wanaoandamana ni waislamu au CUF? Ndiyo maana kuna watu wanaamini CUF ni chama cha kiislamu
 
ijumaa hii kuna maandamano mengine makubwa huko Ndanda, kumngoa mkuu wa shule anaetumia kanisa kutaka kuwakandamiza waislam. jitokeze uunge mkono
kwani waislamu ni kina nani?
huyo mkuu wa shule atabakia kua mkuu wa shule hata waandamane naked
 
ijumaa hii kuna maandamano mengine makubwa huko Ndanda, kumngoa mkuu wa shule anaetumia kanisa kutaka kuwakandamiza waislam. jitokeze uunge mkono
Thubutu manyang'au wakubwa, jaribuni muone hasira ya wananchi wenye hasira kali! wamewachoka kwa uchochezi wenu, wanataka watoto wao wafanye mtihani wa taifa wa kidato cha sita kwa amani bila ujuha wenu. kama unadhani na danganya, jaribuni muone cha mtema kuni. Wala polisi hamtawaona mtajuta kuzaliwa kenge nyie
 
tumepewa watano kati ya 1000. Hatudanganyiki. Mambo ndanda tu ijumaa

Tumewazoea, maneno MENGI ikifika alhamis jioni, utasikia "tumeongeo na mkuu wa mkoa...."

Kwani yale ya mwisho wa mwaka jana yamesogezwa mbele mpaka lini?

KELELE ZA MLANGO....malizia mwenye MS...
 
cuf chama cha waislam, chadema chama cha wakiristo siasa kali

Na CCM ni chama cha wapagani wanolala makaburini, wachawi, na waganga wote wa jadi, kama unabisha cheki wakina prof. Maji marefu na wengine kibaoo' BRAVO CHADEMA
 
Back
Top Bottom