Katika kipindi cha dakika 45 cha ITV jana nilimsikia mh. Job Ndugai (Naibu spika) akisema kuwa watanzania tuna tabia ya kuwachagua viongozi wetu leo halafu kesho yake tunaanza kuwachukia! Je hii...
Watu ni wengi wameanza kujitokeza,waheshimiwa wabunge,viongozi wa serikali ngazi mbalimbali,na wananchi kwa ujumla wakiungana na wanafamilia pamoja na wanachadema.
Mda si mrefu mwili wa marehemu...
Kama Max & Co waliweza ku gharamia kutengeneza TSHIRT za JF cha kujiuliza how hard was it for them to have a Video crew on the ground kurecord the event kisha tukaipata kwenye YOUTUBE channel ya...
Wakuu nimefurahishwa sana na kufarijika sana kusikia kuwa mh. Rais atahudhiria mazishi ya mh. Regia kesho ifakara. Pamoja na udhaifu wake kiuongozi but JK anaupendo sana na si mtu wa kujikweza...
Nukuu toka kwa Kilewo kwenye fb................
Ndugu zangu Watanzania: Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana sadick, alinukuliwa na chombo kimoja cha habari, bwana sadick kupitia...
Mama yake mzazi akiojiwa na gazeti la mwananchi mama yake mzazi bi.catherine amesema Regia alikuwa na watoto wawili anaishi waliokuwa wanaishi ktk mazingira magumu kabla ya kuwafungulia milango na...
Habara toka Morogoro Jioni ya leo Mh. Mustapha Wandwi na Mh. Mbalala Maharagande walieleza yafuatayo;
1. Zaidi ya kutoa orodha ya mafisadi Tz CHADEMA hawana jipya zaidi.
2. Nchi hii iliharibika...
Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku na nimemshuhudia bwana NAPE akisema atashughulika na wanaoanza kujipanga kwa urais wa 2015 sasa. Amesema wanapoteza muda na kawaasa waache kufanya...
Tafadhari mlioko Morogoro mjini mtujuze kitakachojiri mkutano wa CUF leo, kwani habari zimethibitisha kuwa waliokuwa kwenye kambi ya Hamad Rashid watakuwa wahutubiaji wakuu kwenye mkutano wa...
Ushiriki wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi na Viongozi na wanachama wa chama hicho katika msiba wa marehemu Rejia Mtema umethibitisha kwamba siasa si ugomvi wala chuzi.
Nimehudhuria kuagwa kwa...
Ajenda za kutaka kungolewa kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda, na baadhi ya wajumbe kupinga hatua iliyochukuliwa katika kikao kilichopita cha Halmashauri Kuu ya CCM mkoani hapa cha...
Umeme wazua balaa
• CHADEMA, wasomi, wanaharakati wapinga bei mpya
na Mwandishi wetu
Tanzania Daima
BEI mpya ya umeme iliyotangazwa juzi na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati...
Mheshimiwa sikia kelele za kuomba msaada kutoka kwa nchi yako unayoiongoza maana ni kama kelele azitoazo mwanamke anapokuwa anabakwa.
Mheshimiwa nchi yako imekuwa kama pango la wanyang'anyi...
Huyu mama ni diwani wa CCM akiwapigia magoti mawaziri kuombea wananchi wake waruhusiwe kuendelea kulima katika bonde la Kilombero. Je imefikia hatua ya viongozi wetu kuabudiwa kama miungu? Na je...
Viongozi tajwa hapo juu wa CDM Mkoani Mwanza wilaya ya Nyanza wameripotiwa kurudisha kadi zao ya uanachama.
Wamerudisha kadi zao baada ya chichiem kufanya mkutano wa hadhara ktk wilaya ya...
Kama Dada Regia angepata nafasi huko aliko japo aandike Ujumbe kwa JF na TZ kwa ujumla, hakika angeandika shairi kama hili, read it to the end kwa ajili ya kumbukumbu yake na sisi pia, Nampenda...
MWANRI AONYA VIONGOZI LUDEWA KUWA MAKINI NA USIMAMIZI WA MIRADI
Ziara ya ghafla ya naibu waziri Mwanri kwenda kufichua ufisadi wa kutisha Lupanga kwa kukataa nyumba ya mganga iliyochakachuliwa...
ANGALIA MAJIBU YA HAO VIGOGO WA KINAPA/TANAPA
Na Restuta James, aliyekuwa Moshi
JEURI na hujuma zinazofanywa na askari wanaolinda mlima Kilimanjaro zinahatarisha maliasili hiyo...
japo ni mapema sana lakini kabla ya mawazo kufika mbali ingekuwa busara sana jf na cdm kumpa nafasi ya kamanda wetu rejia mtema mdogo wake hili iwe ni moja ya kumuezi dada yetu alafu hikumbukwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.