Wabunge wengine nao watuambie wamefanya nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wengine nao watuambie wamefanya nini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkondakaiye, Jan 18, 2012.

 1. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamanda Regia kabla ya kututoka alituaga hapa JF kwa kutuambia kazi alizo zifanya Katika kukuza chama Wilayani Kilombero kuwa alifanikiwa kulipia na kufungua Ofisi za CHADEMA katika Kata 5, kufungua na Kuzindua Matawi 13 yaliyojengewa na yenye Uongozi wa Kudumu, ameingiza Wanachama zaidi ya 8,000, na amefanya mikutano 20 ya hadhara ya elimu ya uraia. Ili azima ya CHADEMA itimie ya kushika dola 2015, wabunge wengine nao watwambie wamefanya nini kujenga chama katika majimbo yao ili kweli tufahamu kuwa mwaka 2015 CHADEMA imepania kushika dora. Kwa wale wapinzani kama huna cha kuchangia pita tu usitukane.
   
Loading...