Mtoto wa Mkulima analima wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Mkulima analima wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WILSON MWIJAGE, Dec 15, 2011.

 1. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Salamu wana JF,

  Kila kukicha majina wa sifa yanaibuka. Siku moja likaibuliwa jina la 'Mtoto wa Mkulima' maana yake ikiwa ni kuwajali wakulima wa Tanzania na watu wengine wenye kipato cha chini, hii ilitokea mara baada ya kupendekezwa, kupitishwa na kuapa kuwa kiongozi mkuu wa serikali bungeni.

  Tumaini la watanzania likawa ni kuwa na maisha bora mara baada ya kuongozwa na mtu (maskini) mwenzao. Tofauti na ilivyotarajiwa mtoto wa mkulima hajulikani analima wapi au anawalimia wakina nani?. Kwanini haonekani hata shambani wakati watu wanauana Arusha, migodi ya madini inaua watu, mkuu wa bunge anapandisha posho, vigogo wanatibiwa India, madini yanaibwa, matunda yanaozea shambani kwa kutaja machache. Mtoto wa mkulima kweli anasimamia shamba la baba yake, ameshindwa au amelewa ulanzi?

  Ushauri wangu kwake ni kumtaka asimame pamoja na maskini wenzake aseme sasa basi, sisi tunajiweza kwasababu tuna raslimali tunazo za kutosha............!
   
 2. s

  sindo Senior Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Afadhali mtoto wa mfugaji alikuwa anaingia mtamboni tena kwa jazba
  Mtoto wa MKULIMA BURE KABISA
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Analima ostabei
   
 4. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  acha wivu wewe!!!!!analima katavi!!!!ila baba ridhiwani yeye halimi anavuna kilichopandwa na wenzie!!!anavuna vyote vyote kamuulize zakia!!!!
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mi naskia siku hizi analima kwa kutumia SUMRY!
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kumbe unalizungumzia lile jibwa lisilo na meno,kazi kulialia tu..
   
 7. M

  Maengo JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si mwenzetu tena yule...! Ameshakuwa sharobaro!
   
 8. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mvua hazinyeshi kaamua kutandika zake ulanzi bwana
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Alishalima mda mrefu siku hizi ni mtu wa kuvuna tu
   
 10. h

  hajoma Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Alishalima....sasa anavuna posho wizarani na bungeni, rekebisha sio mtoto wa mkulima bali alikuwa mtoto wa mkulima
   
 11. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Bora ya EL kuliko huyu bwana aliyepinda mana ni kama joka la kibisa halina hata sumu.
   
 12. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Maneno matupu yule.
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  shamba la bibi
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 12,018
  Trophy Points: 280
  Hili ni shamba lake?

  [​IMG]
   
 15. s

  sawabho JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Sio tabia nzuri kuongea wakati unakula, chakula kinaweza kukupalia.
   
 16. s

  sawabho JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hii sio maana hasa ya mtoto wa Mkulima, mbona huyu ni mkulima mwenyewe. Kwa maana kwamba mtoto wa mkulima anapaswa kuwatetea wazazi wake ambao ni wakulima.
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huwa nashangaa kwnn ni kiongozi asiejiamini kiasi hichi
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Walimtoa mchapakazi wakamleta mliaji.
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Hili litakuwa sahamba la TUSKER LAGER
   
 20. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ni bepari ana ekari 200 kwao linasimamiwa na ndugu yake,ikijulisha na zile alizo wapa wazungu ekari 10,0000 kama share holder du anaweza kuwa sawa na george bush kwa utajiri.
  wasi wasi wangu rais ajae kama akiwa yeye itakuwaje ?
   
Loading...