PICHA: Yaliyojiri Karimjee katika kumuaga Regia Mtema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Yaliyojiri Karimjee katika kumuaga Regia Mtema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jan 17, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Wana JF walivaa flana zenye maandishi haya mgongoni

  [​IMG]

  Baadhi ya viongozi waliwasili kama inavyoonekana chini:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


  Hawa pia walikuwepo, katika mikao tofauti kabla ya mwili kuwasili:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  Waziri Mkuu akasalimiana na Dr. Slaa:

  [​IMG]

  Mwili wa Marehemu ukawasili:

  [​IMG]
   
 2. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Mtazipa maneno picha hizi:
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 3. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Mnyika naye alionekana akiweka utaratibu sawa:
  [​IMG]

  Ndugu za marehemu katika majonzi:
  [​IMG]
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu...
   
 5. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Nitashindwa kuweka zote sasa hadi kesho, lakini kuaga hali ilikuwa hivi:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 6. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Kamera yetu ilipata picha hizi pia:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  Waweza kuzipa maneno picha hizi
   
 7. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha kwa kweli' nenda dada!
   
 8. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Hawa walituwakilisha vyema:
  [​IMG]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Askari wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Regia Mtema (CHADEMA), wakipeleka kwenye gari baada ya kuagwa kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam leo. Amesafirishwa kwenda kwao Ifakara, Morogoro kwa mazishi.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]
  Askari wa Bunge wakiingiza jeneza lenye mwili wa marehemu Regia kwenye gari tayari kwa safari
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mbowe na Mnyika wakiangalia kwa huzuni[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]
  Mbowe na Mnyika wakiwa na huzuni wakati jeneza lenye mwili wa marehemu Regia ukiingizwa kwenye gari
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Wafuasi wa Chadema, wakiwaaga wenzao waliokuwa wakisafiri kwenda kwenye mazishi huku wakionesha alama ya vidole ya chama hicho[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Wanaosafiri nao wakipungia kichadema[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Sehemu ya umati wa wananchi ukisubiri kuaga[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa (kulia0 akimfariji pacha wa marehemu Regia[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mama mdogo wa marehemu Regia Mtema, Benadeta Mtema (wa pili kushoto0 akilia kwa uchungu. Mama huyo ni mmoja wa watu waliojeruhiwa katika ajali iliyomuua Regia. Kulia na Babab Mzazi wa Regia. Estalatus Mtema.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Msafara ukiondoka Karimjee kuele4ka Ifakara, Moro, kwa mazishi.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"] Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, marehemu Regia Mtema, aliyefariki mwishoni mwa wiki kwa ajali ya gari eneo la Daraja la Mto Ruvu. Mwili wa marehemu Regia umeagwa leo Januari 17, katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao Ifakara kwa maziko.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]
  Spika mstaafu Samuel Sitta, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Regia
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambaye pia ni Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (katikati), na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge), William Lukuvi, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu, Regia Mtema.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema na Bob Makani wakitoa heshima za mwisho[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri wa Utalii, Ezekiel Maige na Mbunge wa Bumburi, Januari Makamba wakitoa heshima za mwisho[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]
  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia akimfariji pacha wa marehemu Regia Mtema
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Heshima zikiendelea kutolewa kwa mwili wa Regia[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akimfariji Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi akimfariji Freeman Mbowe[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Suzan Kiwanga (CHADEMA), akilia kwa uchungu huku akifarijiwa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi (kulia) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambaye pia ni Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (wa pili kushoto) na Profesa Mwesiga Baregu wa CHADEMA.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Vijana wa Mtandao wa Jamii Forum wakiwa wamevalia rasmi waliposhiriki kuuaga mwaili wa aliyekuwa mwanachama wa mtandao huo, marehemu, Regia Mtema.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Naomba niishie hapa, nitaendelea kesho na tutakuwa Live kutoka Ifakara (pamoja na picha)
   
 9. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Siku nyingine nashauri Komba awekewe kiti kisichokuwa cha plastiki, alilazimika kuunganisha viwili na anaonekana kukaa kimachale tu
   
 10. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  Asante kwa picha aisee
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Huyo mchuchu ndo nani humu JF?

  Mwenye kujua hit me up on my PM

  Halafu naona JFers wengi wanahitaji kuingia gym
   
 12. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  NN, una komenti gani juu ya picha tatu za juu? Hamad Rashid, Januari Makamba na James Mbatia wakiongea na waandishi kwa nyakati tofauti.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi hao sijawaona bana!
   
 14. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,812
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Safi sana nOOb

  Nimependa sana JF kuwakilishwa vema.

  Wadau Maxence, Pasco nk. big up sana.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hebu saidia kaka....huyo mchuchu ni nani?
   
 16. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  dada.jpg

  Naona hapa umeamua kujificha kabisa ila unaweza kuni PM
   
 17. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,812
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160

  Acha hizo NN lolz
   
 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Nimeipenda sana hii, lol
   
 19. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,812
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160

  Nikipigwa Ban je?
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aisee Chamoto unataka kukiona chamoto eeh? Oohoooo
   
Loading...