Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM IRINGA NI MKOSI MTUPU, WAFANYABIASHARA WAMKIMBIA PINDA SHEREHE za miaka 35 ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa ni mkosi mtupu ni baada ya wabunge...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam kwa WanaJamii Forum wote na nashukuru kwa kunikaribisha. Nimevutiwa sana na mtandao huu kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kuzingatia taratibu na uhuru wa mawazo. Naomba kwa kutumia Jukwaa hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo hii Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa statement kali ya kuinanga serikali ya CCM kuhusu mgomo wa madaktari. kikubwa walichosema na kwa kuionya serikali kutotumia vitisho...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika mazingira ya kawaida kabisa kwenye nchi yeneye uwajibikaji watu kama Mizengo Pinda, Haji Mponda, Blandina Nyoni na Anne Makinda wote wangejiuzulu mara moja nafasi zao! Inawezekana vipi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya Radio Clouds ya saa 12 jioni, Kituo cha msaada wa sheria na haki za binadamu (LHRC) kimetoa tamko kali kuhusu mgoma wa madaktari. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema ameshangazwa na taarifa za tishio la wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kugomea kujadili muswada...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Hospitali ya Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam ! Kwa takribani wiki Tatu za mgomo wa madaktari wa Tanzania , hospitali hiyo ilikua ikiendelea na HUDUMA, hadi ilifikia hatua ya madiwani wa...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Wangefuta tu hii session ya papo kwa papo, haina tija japo nimeangalia kwa siku moja tu. Leo nilikuwa sina kazi na kwa mara ya kwanza nikatazama TBC kutoka bungeni, kipindi cha maswali na majibu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo katika gazeti la majira imeripotiwa kuwa serikali iliingia mkataba na kampuni ya utafutaji gesi ya Pan African Energy Tanzania Limited ili kutafuta gesi hapa nchini na katika mkataba huo CAG...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu kuna taarifa kuwa madaktari bingwa katika hospitali ya taifa muhimbili wameungana na madaktari wengine nchini na kuamua kuweka vifaa chini(tools down) nasubiri kupata tamko lao rasmi.
0 Reactions
561 Replies
39K Views
Nimemfuatilia sana huyu Mhe. Aggrey Mwanri, Naibu Waziri wa TAMISEMI, naamini kabisa huyu jamaa ni jembe na anamfunika waziri wa hiyo wizara George Mkuchika. Kwa nini hakupewa wizara kamili ...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
TUMEGUSWA sana na jinsi Rais Jakaya Kikwete anavyosimamia vyema mchakato wa kuwapatia Watanzania Katiba mpya. Siyo siri kuwa, mchakato huo ulipoanzishwa mwaka jana, wakosoaji wengi walisema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wananchi !Kwa miaka mingi sana serikali ya Tanzania inatumia kodi ya vinywaji kuongeza mapato ya serikali. Katika kipindi cha Nyerere na cha Mwinyi, walipaji wakubwa wa kodi walikuwa ni...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Je ni sahihi kuvunja mkataba wa kimataifa kwa azimio la bunge! Nasikitika sana kwamba bunge linaelekea kurudia kosa Kama lile la Dowans liloigharimu nchi yetu zaidi ya bil, 90/-. Asubuhi Waziri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mussa Juma na Peter Saramba, Arusha JAJI wa Mahakama Kuu, Aloyce Mujulizi jana alijitoa kusikiliza kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini ,Godbless Lema (Chadema) baada ya...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Jamani mie sielewi ati..........yaaani uchaguzi unafanyika fools day............ili hata mambo yakiharibika, watu waibe kura, itaonekana ni siku ya wajinga. Siku hiyo tutasomewa washindi wa ajabu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika gazeti la Habari leo la februali 4,2012 uk wa 5 kuna taarifa kwa umma iliyotolewa na wizara ya ujenzi na kusainiwa na katibu mkuu wake bwana Mrango kukanusha habari zilizochapishwa katika...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya Bugando kusitisha huduma leo, KCMC watafunga kesho....update to follow Source: kuna kikao kinaendelea
2 Reactions
52 Replies
5K Views
RAIS wangu, maandiko yanasema amtumaye mpumbavu hujikata miguu na kunywa hasara. Wananchi wamewatuma wawakilishi wao bungeni wakawawakilishe. Bunge linaendelea na vioja vya kibunge navyo...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
JK: Country first, CCM second Tuesday, 07 February 2012 23:2 President Jakaya Kikwete By Lucas Liganga The Citizen Chief Reporter Dodoma. The Constitutional Review Act 2011 Amendment...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom