Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
wakuu kuna taarifa kuwa madaktari bingwa katika hospitali ya taifa muhimbili wameungana na madaktari wengine nchini na kuamua kuweka vifaa chini(tools down) nasubiri kupata tamko lao rasmi.
 
inaelekea hata maspecialist wanaofundisha chuo cha afya muhimbili wamejiunga kwenye mgomo.
 
dah afu naskia maumivu mitaa ya ini,sijui ndo inakuwaje na vifaa vishawekwa chini!!!
 
Hali ni tete katika hospitali ya taifa Muhimbil. Hii imekuja baada ya madaktari bingwa kuanza mgomo wao leo mchana kama ishara ya kuishinikiza serikali kushughulikia madai yao na kupinga upotoshaji uliotolewa bungeni na waziri wa AFYA DR. MPONDA.


Nimeongea na SURGION mmoja baada ya kikao na akanihakikishia kuwa wamedhamiria kufanya kweli katika hili. Kitu cha kushsngaza hamna chombo cha habari hata vya binafsi vinavyodiriki kutangaza hali ya mgomo.

Wodi zote MNH ni nyeupe kwani hamna wagonjwa. Ukiingia SEWAHAJI utakutana na wagonjwa wachache walioumia kutokana na ajali wamelala chini mlangoni unapoingia tu. Hii ni hatari sana kwa nchi yetu.
 
Hapa ndo utagundua kuwa baadhi ya watu tuliowapa dhamira ya uongozi hawjui wanachofanya.tuache siasa kwenye mambo ya maana na kwenye afya za binadamu wenzetu. Viongozi tusaidieni kutatua hili wanaokufa kwa mgomo ni watanzania/watanganyika/wazanzibar ambao ndo wanalipa kodi kwa ajili ya kukuza ustawi wa nchi yetu.

Tuache kufanya kazi kwa mazoea tuwe na viongozi creative ambao wanaweza kufanya mambo ya maana. Tuache kufanya kazi kwa kutumia mbinu zilezile na taratibu zile zile huku tukitegemea matokea tofauti we need to change.
 
So sad news,anyway naona msafara wa JK ndo unatoka jijini Mwanza kuelekea eapoti tayari kwa kurudi Dar nazani anaweza kwenda mojakwamoja Muhimbili kuteta na hawa maspesholist.
 
its tools down. We dont need to attend even emergencies. Sababu tuna serikali yenye kiburi basi tuonane nani aliyeshika mpini nanani aliyeshika makali.
Aluta continua, solidarity forever

kwani wewe daktari?
 
Back
Top Bottom