Taarifa zilizo nifikia za kuaminika ni kwamba ccm kuanzia juma tano wataanza kupita nyumba kwa nyumba wakigawa fedha.taarifa imepatikana katika kikao cha pamoja na mgombea wa ccm mohamedraza...
CCM wakati ikiadhimisha miaka yake 35 ya kuwepo madarakani,vita baridi imekuwa ikiendelea Mikoani kuhusu uongozi na Mbio za Urais 2015..kwa hali isiyo ya kawaida Sasa Lukuvi ndo mlezi wa Chama...
Source: Global Publishers http://api.ning.com/files/ji1gQv4pp3wZWUMmiWr8RDtD4AOU55paMzRL-axzOC4utsNnqGcSPuTw--oYfGTjPZpIw9lQw*4WBFjkcT*8cWeboIb*7CMO/izekomedijan3012.jpg
Huenda kuna jambo linataka kutokea Tanzania for the better or worse!
Kwanini Taifa lina kila dalili ya kumeguka?
Migogoro na mitafaruku ya kila aina:
Kwa uchache nitaorodhesha michache na...
Nimekaa na kutafakari mambo mengi yanayokwenda mrama hapa nchini nikahisi pengine kila mmoja wetu anafikiri kuna mtu wa kuleta mabadiliko au neema nchi hii bila yeye kuhusika,ukweli ni kwamba wewe...
Gazeti la Mwananchi la leo, Jumanne, Januari 31, 2012 limeandika habari zenye kichwa cha habari – JK abariki posho mpya za Wabunge: Kila mmoja kulipwa sh 330,000 kwa siku.
Habari hizi siyo...
Mzimu wa Richmond leo umejitokeza kwenye mjadala bungeni kuhusu utekelezaji wa maazimio 26 ya Bunge juu ya gesi asilia. Aliyerejesha kwa kishindo mzimu huo ni mbunge wa Ubungo John Mnyika ambaye...
Nimetafakari sana mwenendo wa nchi yangu na kugundua kuwa mwenye tatizo si rais, yaani jakaya Mrisho Kikwete.
Nimebaini kuwa huyu jamaa anaipenda sana nchi yake na watu wake tena kwa dhati...
Tumesoma Wabunge wa CCM kutaka kugomea muswada wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya mabadiliko ya Katiba.Mapendekezo mapya ni matunda ya majadiliano baina ya CDM na Serikali baada yaSerikali...
Published On: Tue, Feb 7th, 2012
Tanzania | Published On: Tue, Feb 7th, 2012
Zitto Kabwe (Kigoma-North, Chadema), who also doubles as chairman of the Parliamentary Committee on Public...
Majuzi katika kikao kimoja cha CCM mkoani Kigoma, watumishi wa serikalini wanaolipwa mishahara kupitia kodi zetu nao walishiriki. Hawa watumishi ni kutoka Takukuru, Tiss, mkuu wa mkoa na mkuu wa...
Katibu mwenezi wa CDM Kilosa Bw. Ramond Mlama na Mjumbe wa Wilaya ya Kilosa Penfold Chimola wamekitosa CDM na kujiunga na CCM kwa kuwa CDM haina sera madhubuti, na CCM si chama cha wabaguzi na...
Naangalia TBc1 hivi sasa. Mbunge wa viti maalum Diana Kilolo anamfagilia sana Eliakim Chacha Maswi, Katibu Mkuu Nishati na Madini, kwa utendaji wake mzuri kwa muda mfupi aliokaa wizarani hapo...
Nimepata taarifa kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa anaelekea kwenye ofisi za NCCR mageuzi kwa mazungumzo na katibu mwenzake Sam Ruhuza. Nafuatilia kujua kipi kinazungumzwa kati ya makatibu hao...
Mbunge machachali wa kigoma kusini ameipiga serikali kwamba ina ugonjwa wa kutokusanya kodi hasa kwenye kampuni za simu ilhali sekta ya mawasiliano ndio sekta inayokua kwa kasi kuliko zote nchini...
Wandugu
Mkakati wa kuidhibi Irani wa Marekani na washirika wake hauna tofauti na kumfungia Paka ndani
kisha uanze kumuangushia kichapo. nadhani maamuzi atakayochukua yanajurikana.
Hiki ndio hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.