Mhe. Aggrey Mwanri anastahili kuwa Waziri Kamili TAMISEMI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Aggrey Mwanri anastahili kuwa Waziri Kamili TAMISEMI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pipiro, Feb 7, 2012.

 1. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Nimemfuatilia sana huyu Mhe. Aggrey Mwanri, Naibu Waziri wa TAMISEMI, naamini kabisa huyu jamaa ni jembe na anamfunika waziri wa hiyo wizara George Mkuchika. Kwa nini hakupewa wizara kamili ?

  Naamini kwenye hizi tetesi za cabinet reshuffle huyu jamaa atakabidhiwa wizara kama waziri kamili. Ila kwa haya mambo ya Magamba na Serikali yake si ajabu ukaona hayupo kabisa.
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Jamaa anajitahidi ila tu akigusa maslahi ya wakuwa kwishney. Hapa nchini si kwamba watu sio mahiri.........tatizo ni kwamba unachofanya kinamgusa nani?............................Ukigusa wakubwa tu unanyamazishwa. Labda awe crazy crazy kama Magufuli.
   
 3. d

  damcon JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  usirudie tena kusema,mwenzio jumapili tulikuwa nae kanisani mbele ya Askofu shao mh. Mwanri alikimbizwa na joka kubwa kutoka kanisani mbele ya waumini,
  Jamaa ni jembe kweli ila magambani uchawi umekithiri hasa nyota yako ikiwa inawa mbele ya umma,jamaa anafunika baraza zima la mheshimiwa anastahili zaidi kumpiga jeki mkuu kama atapewa uwaziri mkuu.
   
 4. J

  Jicho langu Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unampenda tu hilo ni Gamba anaingilia mpaka kazi zisizomuhusu kwenye halmashauri juzi yeye na mwantum mahiza wameshiriki kunyang'anya watumishi na baadhi ya wananchi wa mafia na kumpa mfadhili wao Dr Dau ni kibaraka tu
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Lol! Huyu si ndiye aliyelia Bungeni kumwomba Mkapa Wilaya mpya ya Siha?


  Anafaa huwa waziri...emamfunika sana Mkuchika!
   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hata mimi namshangaa sana JK kuendelea kumung'ang'ania George Mkuchika. Kwenye hayo mabadiliko please give Mwanri full minister and dump Mkuchika. Mwanri anaweza kupambana na wala rushwa katika halmashauri.

  Uteuzi wa JK ndiyo unamuangusha mwenyewe. Pia kutokana na Ukata wa serikali JK merge some ministries ili uwe na baraza dogo la mawaziri, mimi sio economist like JK, lakini common sense inanieleza hiyo ni hatua mojawapo ya kubana matumizi ya serikali.

  Lakini mwisho kwenye katiba mpya lazima tu spell out fixed ministry ambazo SMT inatakiwa iwe nazo. Haya masuala ya kila Rais kujiundia wizara zake ndiyo yanaturejesha nyuma.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tatizo ni kwamba ukiwa msafi ni sharti uchafuke!!ila sio siri huyu jamaa ni jembe.
   
 8. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Duuh, sasa kwenye Magamba na Serikali yake nani aliye msafi ? Tatizo ni nini hasa? Inaonekana wengi kama sio wote wanakuwa wamebebwa wanahisi au wanajua kuwa hawastahili kupata hivyo vyeo ndio maana wanakuwa wanyenyekevu hata kwenye maswala ya wazi ya kijinga yanayowa-expose sana viongozi. Viongozi wengi kama sio wote hawajiamini, maslahi binafsi mbele, wanajua wakimwagwa tuu hawana pa kukimbilia.

  Ovyo kabisa. Tukubali kuwa inabidi tuanze upya, from scratch.
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sawa anapiga kelele je matokeo ya hizo kelele yanaonekana au akishapiga kelele anaondoka zake na kusahau kama ilivyo kawaida yao??tunataka report ya kazi aliyofanya na matokeo yake'kama ni kelele
  Hata ngeleja anapiga!
   
 10. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hilo ni Jembe la ukweli,big up mwanri
   
 11. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  Mnamponza mwenzenu.....ccm na mauchawi yao..mnaataka apewe u full minister..sasa angalieni wamemtumia Nyoka..akamtimua kanisani!!
   
 12. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unaposema jembe unamanisha anatiwa mpini?
   
 13. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Eti hawa ndio great thinkers? Ovyooo... Man, you need to grow up and be serious...

  Watu wengine kichefuchefu sana.
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hastaili TAMISEMI PEKEE,amiliki kabisa afisi yote as Prime minister
   
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  cabinet yate ya mkulu imeoza hakuna mwenye nafuu. Ufike wakati sasa mawziri wasiwe wabunge.
   
 16. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mwanry ni mmoja kati ya viongozi tunaowataka...anajua majukumu yake na ni seriuos kiutendaji..
   
 17. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani hata akigombea urais wa JMT anaweza kupata
  maana akiongea na mawaziri wake wote watakuwa wamelowa
  mate yake na kila mmoja atakumbuka yale mate yalivyokuwa
  yanamwagika kama mvua inanyesha.jamaa ni mkali kwa maneno
  sijui kama vitendo vinaenda sawia.
  Tumpeni urais jamani TISS
   
 18. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Siyo anamfunika Mkuchika bali mawaziri wote hawafui dafu kwa Aggrey Mwanri ana weledi na mchukia ubadhirifu ila
  tu anaangushwa kwa wakuu wake kutokuchukia ubadhirifu.
   
 19. S

  Shembago JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mmoja alikuwa anawapa watu siku saba na kazi zake kwakweli zilionekana,lakini amesemwa sana mzee yule kwamba ukali wake ulikuwa na kuwekwa mambo sawa.Sasa kuna tetesi kuwa na huyu bwana ni hao hao...
   
 20. B

  BMT JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  mi naomba kla cku mwanri awe wazir mkuu,atamsaidia sana mh rais kikwete
   
Loading...