LHRC nayo yainanga vikali serikali kuhusu mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LHRC nayo yainanga vikali serikali kuhusu mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jan 31, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Leo hii Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa statement kali ya kuinanga serikali ya CCM kuhusu mgomo wa madaktari. kikubwa walichosema na kwa kuionya serikali kutotumia vitisho badala yake isikwepe kujibu hoja za msingi.

  Pia inashangaa hao madaktari wa JWTZ huko kwenye hopspitali zao wamewaacha nani na kuhoji mishahara ya madaktari hao ni kiasi gani?
  Taarifa hiyo imesainiwa na Mkurugenzi wa LHRC Helen-Kijio Bisimba.

  Mwenye taarifa kamili ya LHRC atuwekee hapa tafadhali, nami nikiipata mapema nitaimwaga.

  Aidha mwenye kujuwa hawa madaktari wa JWTZ wanapata mishahara kiasi gani watuwekee hapa.

  Hongera mama Helen-Kijo Bisimba -- mpaka kieleweke.
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mama jumuika nasi siku ya Ijumaa katika kuiwajibisha serikali hii ya kishikaji
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Kulindana kubaya sana.

  Mojawapo ya madai ya madokta ni kufukuzwa baadhi ya viongozi wakiwamo
  Waziri, Naibu wake na Blandina.

  Serikali haijazungumzia lolote kuhusu hilo dai, wao wanashurutisha tu watu.

  Sasa wao pia si wengi majina yao yanaanzia na Dokta Fulani Wa Fulani, wakatibu watu sasa.
  Dokta wa kupewa anataka vita na dokta wakusomea
   
 4. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  na bado
   
 5. k

  kiche JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanaoteseka sana ni akina mama na watoto,mbona sijamsikia mama ananeria nkya!!
   
 6. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kila mtanzania anawajibu wa kuunga mkono madaktari. lazima serikali yet u iwe wajibikaji.
   
 7. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  maDAKTARI WA JESHI WANALIPWA KULINGANA NA VYEO VYAO VYA KIJESHI
   
 8. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  manesi wa muhimbili wamekataa kufanya kazi na madaktarui wa jeshi kwamba ni incompetent!
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi watetezi wa magamba mbona mmelala? Mbona hakuna kati yenu wa kujibu thread hii --kwa kusema kwamba hiyo LHRC ni kitengo cha Chadema?

  Au mnaanza nanyi kukihama chama chenu?
   
 10. m

  mtozwaushuru Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Teh teh! Jana kwny TV nilishuhudia Dr Afande mmoja akipewa SoP(standard operating precedures) na nurse! Sasa si bora huyo nurse angefanya hiyo kazi mwenyewe? Kweli tunacheza na maisha ya walala hoi (maana wao haiwahusu atiii. Si tunatibiwa India, London na SA?) galagabaho!
   
 11. M

  Mkumbavana Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwahiyo pinda ndo amepotezea au?
   
 12. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hao madokta wa kijeshi kwanza hawana budget ya chakula yaana ni kama kula kulala fulani tofauti na sisi wafanyakazi wengine
   
 13. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Katikati ya mwezi wakati sisi wafanyakazi wengine tunakuwa waya mkali wao wanadaka nusu mshahara!!
   
 14. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wananunua bidhaa nyingi bila kukatwa kodi wakiwa jeshini
   
 15. n

  nyantella JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ila haw a jamaa wa haki za bianadamu siwaelewi kuokoa maisha ya watanzania ni haki ya kila anayeguswa sasa wanajeshi kutibu na kuokoa maisha ya watu imekua nongwa wao waiseme serikali tu maana hata madaktari sii wote waliogoma! halafu hawa LHRC wamekua kama chama cha siasa which is not their core business. wanajeshi hawajaenda muhimbili kupiga watu wameenda kutibu na kuokoa maisha ambayo yangepotea wakati madaktari wamegoma!

  baaada ya madaktari kutumia taaluma ya kuibana serikali sasa kila taaluma itatuma umuhimu wake kuibana serikali, foleni next who? stay tuned kitakapo eleweka kila mtaalam tz atakua millionea! what a wonderful world!
   
 16. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nina imani muda wa arab spring umekaribia. badala ya kuongea na wananchi waliokuweka madarakani unaongea na wanaccm. Kwani CCM ndio inayoongoza nchi nini dhamana ya kiti chako kama hata kuamua uwezi. Hela za mchezo unapitisha haraka kama vile sikukuu ya 50 ya uhuru, 35 ya CCM ila hili ambalo ni muhimu kwa taifa haa halina umuhimu watanzania tunatukananwa nje kwasababu yako
   
 17. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wanaharakati wanaelekea karibu na Ikulu kufunga barabara kushinikiza serikali itatue tatizo la mgomo wa madaktari
   
Loading...