Kwa mujibu wa gazeti la Dira, toleo la leo kama kweli tunaitakia mema nchi yetu basi tumuunge mkono Lowassa, achukue uenyekiti wa chama taifa na JK abaki na urais wake.
EMAIL PRINT SHARE
BY AL-AMANI MUTARUBUKWA, 28 JANUARY 2012
The Tanzanian government plans is ready to build a pipeline to carry natural gas to Dar es Salaam. (Photo Courtesy Flickr/heipmann)...
07 FEBRUARY 2012
Na Suleiman Abeid, Shinyanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaagiza Maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuwakamata wana CCM wanaojihusisha na...
JK,
Kama unapita pita hapa jamvini nakushauri hivi:
1... Tangaza HALI YA HATARI haraka sana iwezekanavyo, MAFISADI PAPA wanakaribia kukumaliza!!!!
Kuna mengi yaja na usipokuwa makini utakuwa...
GreatThinkers,
Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.
Jk ametenga eneo la Mabwepande ili...
@
kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi,viongozi wa dini,juu ya
nani mwenye kustahili lawama juu ya hali hii je ! Nani
anayepaswa kulaumiwa serikali au madaktari ?????????????
Wakuu;
Nipo mwanza na habari ni kuwa ccm wamewatelekeza watu wengi sana bila ya kuwapatia usafiri wa kurudi makwao.
Hii ni baada ya kuwasomba jana kuwaleta kwenye maadhimisho ya miaka 35 ya...
Wanajamvi:
Wiki hii katika gazeti la The East African, jenerali Ulimwengu kamtaja JK kama ni 'bingwa wa kupasia mpira', kila anapopigiwa pasi -- akimaananisha hili sakata la posho za wabunge...
Hivi karibuni mbunge wa Nzega (CCM), Dkt. Hamisi Kigwangalla amekuwa kwenye kurasa za mbele za magazeti mbalimbali na mitandao ya kijamii kuhusiana na misimamo yake madhubuti isiyoyumba...
Kufuatia tafiti iliyofanywa na gazeti lisilo fungamana na upande wowote la East African 06/02/2012 kuhusu ubora wa marais wa Africa,Kikwete ameambulia grade C.Utafiti huo ulizingatia vigezo...
Ni kiongozi asiyependeka na wanazi wengi wa CDM na amekuwa akiitwa ''pono'' ama ''mnyama wa gombe''.Mimi sipendi kumuita hivyo ila ninachojua ni Waziri aliyeshikiria mapigo ya moyo ya Kikwete...
Serikali makini na maamuzi makini, Ni msimamizi wa shughuli za serikali na waziri mkuu wa Tanzania, Mtu mkubwa kabisa kabisa, Alisema ma DR wasiporejea job ilikuwa ni siku ya jumatatu tar 16 woote...
:A S 465:
0digg
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
VYAMA vya siasa vitatu, Chama cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) vinachuana vilivyo...
Kuna taarifa kuwa kufuatia fedha nyingi zilizotengwa katika bajeti ya mwaka 2011/12 kutumika kwa shughuli za maazimisho ya miaka 50 ya Uhuru ambazo hazikuwa na tija, Serikali kupitia Hazina...
madaktari wote waliogoma sisi kama wananchi tunawaunga mkono asilimia miamoja kwa ajili madai yao yote ni ya msingi ila serikali inaona kuwa hawana mcna kwa sasa kwa ajili ata wao wakiumwa...
Raymond Kaminyoge
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na NCCR-Mageuzi vimetangaza kurejesha upya ushirikiano wa karibu yanayohusu masuala mbalimbali yenye maslahi kwa wananchi.Katika...
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja
WAFANYAKAZI WA HAZINA, TANESCO NA WIZARA YA NISHATI WAHUSIKA, NGELEJA ATHIBITISHA UCHUNGUZI KUFANYWA
Mwandishi Wetu
SERIKALI inawachunguza baadhi ya...
Kwa mujibu wa tangazo lililotoka kwenye kwenye gazeti la leo la the Guardian la leo, Wizara ya fedha imetenga fedha kwa ajili ya kununua laptop 220, printers 110, photocopier 9 TV flat screen 40...
Keneth Goliama na Shakila Nyerere
ALIYEKUWA Meneja kampeni wa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Abdulrahaman Kinana amejikuta katika wakati mgumu katika ziara yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.