Uchaguzi Arumeru kufanyika siku ya Wajinga duniani............kwa nini?

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Jamani mie sielewi ati..........yaaani uchaguzi unafanyika fools day............ili hata mambo yakiharibika, watu waibe kura, itaonekana ni siku ya wajinga. Siku hiyo tutasomewa washindi wa ajabu kwenye ,magazeti.............tutavurugana.......tu ndio maana hata daftari la wapiga kura haliboreshwi...........litatumika lile lile la 2010 hata kama lilikuwa na mapungufu. Tarehe 1 April huwa ni siku ya wajinga hata kama sio rasmi.....watu huitumia siku hii kufanyiana ujinga.
 
jamani mie sielewi ati..........yaaani uchaguzi unafanyika fools day............ili hata mambo yakiharibika, watu waibe kura, itaonekana ni siku ya wajinga. Siku hiyo tutasomewa washindi wa ajabu kwenye ,magazeti.............tutavurugana.......tu ndio maana hata daftari la wapiga kura haliboreshwi...........litatumika lile lile la 2010 hata kama lilikuwa na mapungufu. Tarehe 1 april huwa ni siku ya wajinga hata kama sio rasmi.....watu huitumia siku hii kufanyiana ujinga.

nani kakwambia ni siku ya wajinga? Kwani lazima kuiga mambo ya ulaya na marekani? Ni siku kama siku nyingine, ila ukiamini katika hilo utakuwa tayri ni mjinga. Pole
 
Hilo halihusiani kabisa na uchaguzi ila tunaomba Mrema asivuruge hapo. CHADEMA/NCCR waichukue jimbo hilo.
 
nani kakwambia ni siku ya wajinga? Kwani lazima kuiga mambo ya ulaya na marekani? Ni siku kama siku nyingine, ila ukiamini katika hilo utakuwa tayri ni mjinga. Pole

We utakuwa nje ya nchi kijana...............sikiliza magazeti siku hiyo tena yale ambayo ni serious utaona watakachoandika siku hiyo..................utasikia Ntamaholo awa mbunge wa Arumeru mashariki
 
Back
Top Bottom