Dr Slaa atoa Onyo kali kwa wabunge wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa atoa Onyo kali kwa wabunge wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Feb 7, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema ameshangazwa na taarifa za tishio la wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kugomea kujadili muswada huo. Amesema endapo watayagomea marekebisho hayo na kuyarudisha kwa Rais Kikwete anaweza kuamua kuvunja Bunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

  Dk. Slaa alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu ya taarifa za wabunge wa CCM kutishia kugomea mjadala wa marekebisho hayo. Alisema wabunge wa CCM wanapaswa kuzingatia utaratibu uliotumika kupata maoni mbalimbali yakiwamo ya vyama vya upinzani, taasisi zisizo za kiserikali ambazo zilitoa maoni yake.

  Alibainisha kuwa wabunge wa CCM wasiozidi 300 hawawezi kuzuia maoni ya Watanzania wasiopungua milioni 40 na endapo watafanya hivyo watakuwa wanamwelekeza rais kuvunja Bunge. "Wabunge wa CCM wakumbuke kwamba serikali imepeleka muswada huo kwao si kwa sababu yametolewa mapendekezo na CHADEMA au chama cha siasa tu, umejadiliwa na Watanzania wengi. "Kama kweli wataugomea na kuurudisha kwa rais tena, rais anaweza kuamua kuvunja Bunge kwa mujibu wa Katiba," alisema.

  Dk. Slaa alisema anashangazwa sana na wabunge wa CCM ambao wamekuwa wakijigamba kwamba serikali inayoongozwa na chama chao ni sikivu halafu hao hao tena washindwe kutekeleza yaliyofikiwa na serikali hiyo hiyo. Alisema wabunge ni lazima waonyeshe uzalendo wao kwa Watanzania kwa kujadili muswada wa mabadiliko ya sheria badala ya kushindana na mamlaka ya rais


  SOURCE:TANZANIA DAIMA
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  wagome tu, ili mvurugano uwe mkubwa ndani ya CCM
   
 3. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ningefurahi kama JF tungepata copy ya mswaada huo in Swahili.
  Nina uhakika hakuna mabadiliko ya maana yaliyofanywa... but I stand to be corrected.
   
 4. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwan mpaka wawepo na Magamba ndio inafaa au...?
   
 5. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  inasemekana wabunge wa CCM hawana shida na huo muswada,ila wanachotaka JK aridhie posho zao ndo kila kitu kitaenda sawa.Mkono mtupu haulambwi ati!
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaa haaaa wana hali ngumu ile mbaya hao wabunge wa CCM, ndio maana wanalilia nyongeza ya posho, walichukua mikopo wakati wa kampeni, unakuta sasa hivi wakati wa kuirejesha wanakatwa mpaka wengine wanabaki na laki 2... Hahaa haaa kwanini wasikomalie nyongeza ya Posho?
   
 7. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi wabunge wa chadema waliposusia bunge walikosa uzalendo? Na kama ndivyo dr Slaa alichukua hatua gani?
   
 8. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  slaa nae kichwa chake kama katuni . Eti wabunge wasiozidi mia tatu watakuwa wamekataa maoni ya watanzania milion arobain, hivi hao watanzania wako mfukon mwake,au mdomoni mwake yeye ameonana lini na watanzania wengi kuliko walionana na wawakilishi milion arobain. Wabunge ni wawakilishi wa kikatiba wa wananchi je slaa anqmwakilisha nani. Masaburi makubwa kichwani
   
 9. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Fuatilia tena walichosusia halafu linganisha na wa CCM wanachotaka kususia kisha utapata jibu kwa urahisi kuliko unavyoelewa sasa.
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kapige mswaki kwanza...asubuhi asubuhi unakurupuka na kuanza kuongea..kwa mujibu wa katiba mswada ukirudishwa kwa rais kwa mara ya pili,ndani ya siku 21 anatakiwa kuvunja bunge...chadema walipoenda kumuona rais,hao hao wabunge wa ccm wakamshauri akutane na vyama vyote,vyama vyote vilitoa maoni ikulu(at least vilivyotaka kutoa maoni)wakiwemo wao ccm,sasa inakuwaje watake kugomea mswada...naamini tatizo sio mswada,tatizo ni posho..
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Sio lazima kumuonyesha kila mtu kuwa wewe ni zezeta! Usingeleta upupu wako huu usingejulikana kuwa wewe ni zezeta.
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mods-Ilishakubalika hapa Masaburi ni matusi tunaomba haki itendeke kwa wote
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa wabunge wa ccm walitaka kumblackmail mwenyekiti /Rais kuwa ule muswada utakwama kama asingeridhia matakwa yao ya posho; sasa mwenzao kawastukia na kuwaelimisha kuwa hicho kitendo chao kinaweza kumfanya avunje bunge!! Ikabidi wanywee kwani bunge likivunjwa na wao wanamadeni lukuki,pia hawana uhakika wa kurudi mjengoni ingekuwa imekula kwao!! Hawa vilaza hawaoni mbali zaidi ya pua zao.
   
 14. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nikwamba Magamba kwaö wanaona aibu tupu. Wakigomea muswada aibu na pia wakiujadili na wakaupitisha ni aibu kwa vile wanadai ni mapendekezo ya cdm. Wapo njiapanda.
   
 15. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Mnawakumbuka Wanaharakati? Tulisema mswaada wa Katiba usisomwe kwa mara ya pili. Sasa leo mbona kila mtu anaweweseka? Bado shughuli ndio kwanza inaanza,lazima tutoane ngeu kwanza
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  we
  ni mtoto mdogo sana ndo maana mawazo yako ni ya kitoto...ndo shida ya intgernet za bure dada akirudi kazini basi kuchezea laptop yake mpaka mnapost mautumbo haya...hebu tupishe hapa
   
 17. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmh! Pengine ni namna yangu ya kufikiri! Mi nahisi kama Slaa sasa unanichanganya! Kwani wao wakigoma si nao pia wanatumia haki yao ya kutoa maoni kama Ndugu zetu wanapotoka bungeni wasipokubaliana na jambo? Au unataka kusema wapinzani wakitoka bungeni huwa ni tisha toto maana mnajua hakuna lolote litabadilika kutokana na namba? Au huwa ni kiini macho tu? Watanzania tufikiri kweli ni watetezi? Kauli yako imekaa kichama tawala kuliko upande wa pili...au? Kama wanagoma si wagome tu! Si ndio itaonyesha mmewatingisha?
   
 18. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 4,477
  Likes Received: 4,485
  Trophy Points: 280
  A.S.S Crap
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sio wa CCM tu kwa taarifa yako hata CDM wabunge wao wako hoi , wamekopa kwenye mabenki. Mfano, Mnyika Tshs 200m (CRDB), Selasini Tshs 210m (CRDB)

   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Akili ya embe dodo, njoo home nikupe akili !

   
Loading...