08 FEBRUARY 2012
*Huduma zote zasitishwa hadi kitakapoeleweka
*Tamko la serikali lasubiriwa kuokoa jahazi
*Wizara yahaa kutafuta madaktari wa ziada
Na Waandishi Wetu Majira
Vitanda vya...
Rais anapokuwa nje ya nchi ni makamu wa rais anayeshika madaraka siyo waziri mkuu. Tangu mgogoro huu uanza tumemsikia sana waziri mkuu. Najiuliza yuko wapi makamo wa rais na kwa nini impression...
Mwandishi wetu, Dodoma
KUFUATIA mgomo wa madaktari unaoendelea nchini, Baraza la Mawaziri limependekeza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Haji Mponda na Katibu mkuu wake, Blandina Nyoni...
Wed, Feb 8th, 2012
Tanzania |Wed, Feb 8th, 2012 W
ed, Feb 8th, 2012
Foundation's Executive Director, Joseph Butiku
Construction work of 20 and 14-storey twin towers commercial block...
Utata wa Sh 3trilioni wagundulika sekta ya madini
Tuesday, 07 February 2012 20:23
Midraji Ibrahim, Dodoma na Boniface Meena
Mwananchi
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe...
Baada ya kupimana nguvu kwa wiki kadhaa, hatimaye pinda amefyata mkia na kuamua kuwatafuta madaktari ili aongee nao wakati mwanzoni aliwapuuza na kuwakejeli, kweli maji yapo shingoni mwa serikali...
Nchi yetu imekumbwa na matatizo mengi hivi karibuni na tegemeo letu kwa kiasi kikubwa limekuwa juu ya wawakilishi wetu tuliowachagua kutuongoza na kututekelezea yale yanayoweza kuijenga Tanzania...
Muda huu Naibu speaker amehairisha Bunge mpaka kesho lakini hoja ya Mgomo wa Wa Dr bado unaendelea kupigwa danadana leo ni Mara ya sita wabunge kuja na hoja hii lakini Makinda na Ndugai...
Tanzania haina uwezo wa kupandisha mishahara ya walimu, madaktari, askari polisi na jeshi bila kubadilisha muundo wa serikali. Nilishasema hapa kwamba Watanzania inabidi waamue serikali ifanye...
Waziri mkuu mizengo pinda leo amekutana na madaktari bingwa ktk hospitali ya mhimbili na kesho anakutana na madaktari na wadau wote wa afya wanaohusika katika mgogoro unaoendelea hivi sasa.lengo...
Wakuu mapambano yanaendelea Uzini. CHADEMA inazidi kuchanja mbuga. Makamanda wanafanya kampeni za lala salama sasa. Mikutano ya hadhara na mobile kampeni. Bila kusahau mtu kwa mtu kampeni, hasa...
Japo sijafikia hatua ya kumfananisha Kikwete na Hitler kwa kukosa huruma dhidi ya binadamu, kama walipofikia baadhi ya watanzania kutokana na alipowafikisha watanzania, najiuliza na pengine hao...
Jamani watanzania wenzangu naomba niwaulize kuwa Rais wa Tanzania ni nani?
Mgomo wa madaktari yuko kimya.
Posho ya wabunge kimya.
Ufisadi ndani wizara mbalimbali kimya.
Maisha magumu kwa...
Naamini CHADEMA ambacho ndicho chama tegemeo kwa wengi mnaona hali hii la mgomo wa madaktari!mbona mnakuwa kimya?maslahi mnayotetea ni yapi?dr slaa,zito kabwe,tundu lisu,peter mnyika na wengineo...
SERIKALI inawachunguza baadhi ya maofisa wake waandamizi kwa tuhuma za wizi wa dola50 milioni za Marekani sawa na Sh86 bilioni, zilizotengwa kwa ajili ya ununuzi wa mafuta mazito ya kuzalishia...
kutokana na mgomo wa madactari unaoendelea nchini kote , hali katika hospitali ya temeke inazidi kuwa mbaya baada ya madactari wa hospitari hiyo kusitisha huduma,wagonjwa wanazidi kupoteza maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.