Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna aliyetemea kwamba Kijana msomi lakini masikini wa kutupwa wa tunisia alipojichoma moto na kupoteza maisha yake Mwishoni mwa Mwaka Juzi angeacha nyuma yake harakati za kuwaondoa madarakani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Watanzania hivi nchi hii ina Waziri Mkuu Mtendaji au ni waziri Mkuu kivuli. hivi huyu pinda anafanya nini na hivi huyu anatafuutina na Lowasa kwa lipi? Inasikitisha sana Waziri Mkuu kuwa na mawazo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leon BahatiMAKAMISHNA watatu wa Idara ya Uhamiaji nchini, wamesimamishwa kazi ikiwa ni siku 20 tangu Waziri wa Mambo ya Ndani , Shamsi Vuai Nahodha atangaze kufanya mabadiliko ya kiutendaji ndani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wananchi na watanzania wenzangu, kwa hali ya nchi inavyokwenda hivi sasa, tunahitaji neema ya mungu kuweza kuinusuru hali jinsi ilivyo. Mbona mambo hayaendi na maisha ya wananchi yanazidi...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
:A S 465:Asalaam aleukum wana JF wote. Naomba watu msinielewe vibaya kuuliza si ujinga kuna mambo mawili ambayo yanachanganya taasisi mbili muhimu hapa nchini! taasisi ya kwanza ni Bunge kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana na hapa taifa lilipofikia, mahala ambapo bila haja ya maelezo ushahidi uko wazi kuwa mwelekeo wa nchi ni lazima ubadilishwe; na kwa kufahamu kuwa hakuna aliyeko madarakani mwenye uwezo wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Na Mwinyi Sadallah 23rd January 2012 Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitapinga Umoja wa Mataifa (UN) kuiongezea Tanzania mipaka ya eneo la kiuchumi la bahari Kuu kabla ya kupatikana...
0 Reactions
430 Replies
29K Views
Kumekuwa na taarifa za kuwepo kwa kikao cha Madaktari wakazi (Resident) na Interns ambao bado walikuwa wanaona wagonjwa wa dharura sasa wameamua kuacha kila kitu na kuamua kutoa mtangazo. Kkatika...
0 Reactions
217 Replies
21K Views
Nampenda sana JK lakini kwa kumuonea huruma zaidi. Ukweli nchi imemshinda. Pita kila mahali ndani ya nchi, kila mtu analalamikia udhaifu wa serikali ya JK. Naungana na beatrice Shelukindo kuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mhe rais wangu,nimeona nikupe salamu zangu hizi,mimi ambaye ni mtanzania wa chini kabisa baada ya kuona mambo yanakwenda kombo ili hali sisi watanzania wakawaida kwa imani kubwa tulikuamini na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu hii taarifa nimeipata kutoka kwa wandani wangu aliopo pale Wizara ya Afya. Kwamba Katibu Mkuu wa Wizara Bi Brandina Nyoni haivi na Naibu Waziri wake, Bi Lucy Nkya. Na inadaiwa kuwa...
0 Reactions
97 Replies
13K Views
Wakuu wote .Kama mmeipata mnisamehe na kama hamjaipata basi Mkuu Mbowe na Wenje walisema haya huko ziarani kwa Obama . Gonga link usikie mwenyewe www.changamotoyetu.blogspot.com.
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge kwa kipindi sana hasa katika bunge hili lililoanza mwaka 2010 ambalo limekuwa linakaribiana na changamoto kubwa nadhani kuliko mabunge yote yaliyowahi kutokea...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
BONYEZA HAPA USIKILIZE Ukisikiliza usiniulize, na wala usimwambie mtu mwingine. For your Ears Only M.M.
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Huyu mchungaji sijamsikia siku nyingi, yupo kweli? Na Dr. Lamwai je? Mbona wamekuwa kimya sana? Hadi Mkinga naye siku hizi amepotea
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mpayukaji wa Msemahovyo NI makosa ni vibaya mnafanya wazazi Ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari kutoka Vyanzo vya ndani ya Bunge vinatuambia Mgomo baridi unaendelea kati ya Viongozi wa Kuu wa nchi na sasa Unaingia katika Uongozi wa Juu wa Bunge na Wabunge Wabiunge walijipanga...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna tetesi za kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya wakuu mwishoni mwa wiki hii,mwenye taarifa za uhakika atiujuze
0 Reactions
13 Replies
2K Views
One million Rwandans have emerged out of poverty in the last five years, six times faster than the country has achieved between 2000 and 2006, a new survey of household living conditions in Rwanda...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Gazeti Uhuru jana Jumanne limebeba habari hiyo kwenye ukurasa wa kwanza. Mwandishi Lilian Timbuka akiripoti kutoka Dodoma anamnukuu Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akitamka...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom