Tanzania tupo wapi na nini hatima yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tupo wapi na nini hatima yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nakumbushia tu, Feb 8, 2012.

 1. n

  nakumbushia tu New Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam kwa WanaJamii Forum wote na nashukuru kwa kunikaribisha.

  Nimevutiwa sana na mtandao huu kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kuzingatia taratibu na uhuru wa mawazo.

  Naomba kwa kutumia Jukwaa hili tufanye mjadala wa kina utakaoweza kuweka bayana TASWIRA ya nchi yetu kwa sasa. Hebu tujiulize tumefikaje hapa na je tutafika?. Tunaacha urithi gani kwa kizazi kijacho. Nchi inayumba kwelikweli huku tukijipa moyo kwamba tungali imara. Tupo wapi na nini hatima yetu?
   
Loading...