Mgomo wa madaktari: Kituo cha sheria na haki za binadamu chatoa tamko kali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari: Kituo cha sheria na haki za binadamu chatoa tamko kali!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dark City, Feb 7, 2012.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Katika taarifa ya habari ya Radio Clouds ya saa 12 jioni, Kituo cha msaada wa sheria na haki za binadamu (LHRC) kimetoa tamko kali kuhusu mgoma wa madaktari. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wake Mama Helen Kijo-Bisimba ambaye amesema kuwa serikali inatakiwa kumaliza huu mgogoro mara moja. Na kama serikali haiwezi kutatua hili tatizo basi ijiuzulu mara moja. Amesema endapo ikifika kesho na hili tatizo halijatatuliwa, basi watalazimika kuitisha maandamano.Source: Clouds FM!!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,551
  Likes Received: 14,953
  Trophy Points: 280
  na hii ndio solutiona..na wale madaktar kutoka china hawajawasili tu?
   
 3. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,236
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mmh! Kazi kweli kweli.
   
 4. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,236
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hapo kuna deal ya ukarimani! Ila wasije kutuletea barefoot doctors...
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hili tangazo lao lilikaa kiwoga sana,wanarukia topic na hawana maamuzi.tanzania bado sana!
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160

  Ila nimesikitika kwamba baadhi ya media ambazo nimefuatilia hadi sasa ikiwemo TBC na BBC hawajarusha tena tamko hilo!!

  Anyway, ngoja serikali iendelee kujifariji kwa kulindwa na media,....siku zao zimebaki kiduchu tu!!

  Babu DC!!
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  safi sana, japo naumwa lakini nitaandamana
   
 8. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,427
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nyie Kituo cha sheria mlikuwa mnangoja nini mnakuja kubweka kama mbwa koko?

  Too late for you.

  Nyie ni wanaharakati au ni nani?

  Siwaelewi.

  Nchi inaangamia nyie ndo leo mnaamka?
   
 9. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeshachoshwa na matamko yasiyo na kichwa wala miguu yule jamaa anapenda sana kuonekana kwenye tv basi
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,499
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Kwani kesho saa mbili ni mbali basi?Ngoja tuone itakuweje!
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Bus lishafika na abiria washashuka nyie ndio mnakumbuka safaei??

  Anyways kipindii hii hatutaki hiyo maneno yenu, kama kweli mu wanaharakati fanyeni kweli hiyo kesho
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  tatizo wanachonga sana bila vitendo kama kweli wanamaanisha wakaweke kambi wizara ya afya.
   
 13. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kweli kwamba hii Serikali ni sikivu? haya ngoja tuone mwisho wake.
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wastuzingue tunataka madaktari wetu hawahawa hatutaki mchina wala mjapani, kinachotakiwa ni uboreshwaji wa mazingira
   
 15. e

  ebrah JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asaaaaanteeeeeee tuingie barabaraniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  utasikia Kibamba naye anaropoka halafu siku ikifika anaingia mitini
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanaharati wa Tanzania na kudakia mambo hasa ya kisiasa....mazungumzo tayari yanaendelea then taarifa itapelekwa Bungeni sasa wanaharakati mnataka serikali ikawakamate madaktari na kuwarudisha mahospitalini kwa nguvu?
   
 18. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 758
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kujiuzulu ni swala la busara kwa mwenye hekima ila hapa imekula kwetu labda tuwatoe mamba masikioni that is the ony way
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tumeshawazoea kila mara hawa wanaharakati huwa wanakurupuka na baada ya muda wanaingia mitini!
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tangulia wewe kwanza sisi tutakuja baadae
   
Loading...