Hivi kuna tatizo gani Blandina Nyoni kutumia lugha ya hekima kudeal na hawa ma daktari?
Hivi hii yote ni jeuri ya pesa alizotengeneza kuitapeli serikali alipoiuzia kwa bei ya kutisha ile...
Marais wastaafu wanahudumiwa kwa kutumia pesa za walipa kodi wa nchi hii, mambo yanavyoendea ndivyo sivyo tulitegemea wangetoa ushauri au pengine kusema chochote kuhusiana na mgomo wa madaktari au...
Kwa mtazamo wa haraka na ninavyoona kada mbalimbali zinavyoamka kudai haki zao za msingi na jinsi serikali haikujipanga kufanya mambo kwa utaratibu unaweza kuaminika na kukubalika ni dhahiri elimu...
Hivi huyu katibu mkuu wizara ya afya ana akili timamu? kutuambia sisi wananchi wa kawaida kuwa tusiogope mbu ambao wizara yake imewafuga ndio nini?
At this stage siamini chochote kinachotoka...
0digg
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Helen Kijo-Bisimba (Katikati) akizungumza baada ya kuandamana jana jijini Dar es Salaam kuishinikiza serikali iumalize...
Naomba kueleweshwa je kilichotakiwa kuchangiwa katika huu mswada ilikuwa ni ishu ya wakuu wa wilaya,wakurugenzi na wanasiasa kuingia mana wachangiaji wote wameishia hapo.vip kuhusu malalamiko ya...
Mheshimiwa Dr mwenyekiti wa Taifa,baba wa familia na Rais wa Jamuhuri yetu,najua Hujambo na unaendelea vizuri na Safari zako.
Sisi tupo japo ni Misiba ya kila siku,baba najua upo Mbali ila kwa...
Madaktari wanaweza kurudi kazini mara moja na wanaweza kuanza kutoa huduma kama "kawaida" lakini tatizo la msingi ltakwa limetatuliwa?
Ndugu zangu, mgomo wa madaktari sasa umevuka kutoka...
Jana mimi ( Mwalimu) pamoja na Watanzania wengi ( Wauguzi, Madaktari na hata makondakta) Tulikuwa Mbele ya Runinga zetu tukifuatilia Mjadala wa bunge la bajeti linaloendela hivi sasa. Kilikuwa ni...
Leo asubuhi hii, nilifika pale ukumbi wa CPL muhimbili, ambapo imesemekana tunatakiwa kukutana na PM Pinda. Lakini baada ya kufika hapo ili nipate nafasi, Tumekuta watu ambao walitufukuza na...
Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio...
IKIWA ni wiki ya lala salama ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la uwakilishi la Uzini, visiwani Zanzibar, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari kimefanya mikutano 68 ya kumnadi...
Pasco mwenzako anataka kukutana na watu aliosema wamefukuzwa kazi kesho saa tatu asubuhi kwenye ukumbi wa CPL Muhimbili. Unasemaje hapo?
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA YUPO DAR ES SALAAM KUTOKA DODOMA...
MGOMO WA MADAKTARI: Mawaziri wapendekeza waziri wa Afya atoswe
KUFUATIA mgomo wa madaktari unaoendelea nchini, Baraza la Mawaziri limependekeza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Haji Mponda...
Kutokana na adha iliyojitokeza kwenye Hospitali ya muhimbili na bado inaendelea kugharimu maisha ya wananchi wanawake kwa watoto na wazee,nidhahiri tatizo hili limesababishwa na viongozi wa...
Nina uhakika wa kutosha posho za wabunge hazikuwa zimepandishwa. Ndio maana katibu wa Bunge anashikilia msimamo kuwa posho hazikuwahi kupandishwa. Mgogoro ulianza baada ya gazeti la mwanahalisi...