Mswada kujadiliwa bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mswada kujadiliwa bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MASHOW, Feb 9, 2012.

 1. M

  MASHOW Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kueleweshwa je kilichotakiwa kuchangiwa katika huu mswada ilikuwa ni ishu ya wakuu wa wilaya,wakurugenzi na wanasiasa kuingia mana wachangiaji wote wameishia hapo.vip kuhusu malalamiko ya mamlaka ya rais katika katiba?
   
Loading...