BLANDINA NYONI: "Msiogope mbu wa Muhimbili" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BLANDINA NYONI: "Msiogope mbu wa Muhimbili"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Sep 23, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu katibu mkuu wizara ya afya ana akili timamu? kutuambia sisi wananchi wa kawaida kuwa tusiogope mbu ambao wizara yake imewafuga ndio nini?

  At this stage siamini chochote kinachotoka wizara ile. mara o=hh tunaleta helicopta na ndege toka Nairobi kunyinyiza dawa sasa hivi haa mbu wameshahama toka bonde la msimbazi na wanafanya vurugu huku magomeni na sehemu zinginezo. Katibu mkuu haishi kutafuta mabifu na wenzie kila kukicha.

  Ushauri kwa Blandina: Acha kulobby kwa JK upewe uwaziri na sort out matatizo ya mbu, sort out hizi hospitali zinazoua watu, tuleteeni dawa zinazotutibu, na mwisho kabisa acha bifu lisilo na kichwa wala miguu na Dr Mwele Malecela!
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  .
  Ni kweli hatuwaogopi hao mbu kama tunavyomuogopa Blandina na watu wa jinsi yake.
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanawake bana
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hivi sasa mitaa ya upanga na vitongoji wake kila mtu ana malaria.

  ingekuwa tuko ulaya tungekwisha i-sue serikali

  :mad2:
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hapa panahitaji ufafanuzi........
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mtu yeyote anaemuogopa mama Blandina Nyoni lazima awe mtu wa majungu au mvivu wa kutimiza wajibu wake. Huyu mama hawezi kujipendekeza ili ateuliwe kuwa waziri kwasababu yeye sio politician bali ni civil servant. Hao wanaokuwa na bifu na huyu mama ujue amewazibia ulaji wao kwani huyu mama kwa sie tunaemfahamu hana mchezo na maslahi ya Taifa. Mshindwe na mlegee na majungu yenu!!
   
 7. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Ila Makatibu Wakuu aliochagua Kikwete lazima wafanye kazi kwa staili ya JK, na hata ya Lowasa.

  Hilo la kusema italetwa helikopta Nairobi kupiga dawa mbu wa Msimbazi ni kama lile la Lowasa la kuleta ndege zije zitengeneze mvua juu ya Bwawa la Mtera. Au labda helikopta zote za Nairobi ziko Tanzania zinafanya kampeni kipindi hiki. Zikiisha kampeni huenda wakazi wote wa Bonde la Msimbazi mkapigwa dawa toka majuu, nyie na vimbu vyenu.
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  naona unawachokoza labda uwafafanulie.. wanawake bana kivipi..?
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wakiwezeshwa wanaweza
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nilikuwa pale muhimbili jumapili moja hivi mwezi wa nane, hali inatisha kwa kweli, ukiongea vibaya au ukicheka bila tahadhari waweza kula mbu hata ishirini kwa sekunde maana wanajivinjari tuu kutafuta msosi kwenye miili ya binadamu.
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa mbu kweli wanazaliana kwenye bonde la msimbazi lakini bonde hili halipo sehemu ya hospitali ya Muhimbili tu bali linatokea na kupiata sehemu nyingi tu kama magomeni na ilala; ili kuthibiti hali hii sidhani hata kama mbu watadhibitiwa sehemu ya Muhimbili tatizo litakwisha bali kinachohitajika ni mamlaka ya jiji yenyewe kuwa na comprehensive programme ya kuthibiti mazalia ya mbu .sehemu zote za jiji na sio kufanya semina.
   
 12. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :becky:
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu una point nzuri lakini umezichakachua kidogo

  Ni kweli unaposema Blandina kakose sana kusema tusiogope mbu wa muhimbili... ni lazima tuwaogope kwani mbu si rafiki wa binadamu... huyu mama hajui kwamba mbu hata kama hawana magonjwa mara nyingi huwa kero wanaporuka kuzunguka mwili wa binadamu, mbu ni nuisance kabisa

  Pia umepatia sana hilo bifu... huyu mama ni bingwa wa bifu kila anapopita

  Ila kimoja tu... Blandina hawezi kupewa uwaziri hadi awe mbunge, au umeshapata nyeti kwamba atapewa ubunge wa kuteuliwa?
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hii, siogopi mbu ila naogopa sana watanzania wakimrudisha rostam ikulu
   
 15. U

  Umsolopogaas Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia wameiomba Serikali ya Cuba ije kutusaidia kuuwa hawa mbu. Ama kweli viongozi wetu wana inferiority complex na akili za kitoto zisizotaka kukomaa. Hata kuuwa mbu unaomba msaada? Miaka 50 ya uhuru bado hujaweza hata kuua mbu, unalia kaka, mama, baba, kuna mbu hapa, njoo unisaidie kumuua! Jamani, kisa cha kubaki kufikiri kama watoto tu kwa miaka 50 kitafakariwe na kujadiliwa kuanzia hapa JF.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  Malaria haikubaliki, LAKINI MBU WANAKUBALIKA, NDO MAANA TUNAWAFUGIA MUHIMBILI
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Sasa mbu wa muhimbili washamngata

  akipata malaria naamini hatoenda tibiwa Muhimbili
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ataipenda!

  Nimefurahi sana alivyong'atwa, kiburi, jeuri na dharau zake kwa madaktari aende akafanyie huko nyumbani kwake...
   
 19. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli ehhhh?
  Hebu rudia tena haya maneno leo.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hawezi kuthubutu manake YAMETIMIA...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...