Uko wapi mchango wa marais wastaafu?

Determinant

Member
Nov 14, 2011
10
4
Marais wastaafu wanahudumiwa kwa kutumia pesa za walipa kodi wa nchi hii, mambo yanavyoendea ndivyo sivyo tulitegemea wangetoa ushauri au pengine kusema chochote kuhusiana na mgomo wa madaktari au katika jambo lolote gumu linaloikabiri nchi. Kukaa kwao kimya ina maana uwezo wao wa uongozi uliishia tu pale walipoacha wadhifa wao? na kama ni hivyo kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwahudumia kwa kutumia jasho la walalahoi.
 
sharon wa israel anali[piwa nusu tu ya gharama za matibabu na serikali
gharama zingine inabeba familia yake
 
Back
Top Bottom