Kikwete Sema neno Moja tu na Roho zetu zitapona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Sema neno Moja tu na Roho zetu zitapona

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Feb 9, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mheshimiwa Dr mwenyekiti wa Taifa,baba wa familia na Rais wa Jamuhuri yetu,najua Hujambo na unaendelea vizuri na Safari zako.
  Sisi tupo japo ni Misiba ya kila siku,baba najua upo Mbali ila kwa kuwa una ile Ipad yako na ni Member humu kwa jina la utani basi najua unasoma hii..
  Baba hawa wanaokufa wengi wana kitambulisho cha Mpiga kura na kofia na T shirt za Chama tawala.
  Hawa wote walikupa ridhaa ya kukusanya kodi na kupanga Matumizi baba(kuunda Serikali)
  Umekuwa Kimya kuhusu kunusuru maisha ya Waliokuwa wanajaa viwanjani kukushangilia wakati unaomba Ridhaa.
  Hawa Madaktari hawana shida kama unavyodhani.
  Bei yao ni ya Maelewano,USIOGOPE UKUBWA WA SAMAKI ULIZA BEI,wao wametamka bei yao kwa Mwezi'ila wewe hujatamka ya Kwako kuwa upo tayari kwa bei Gani.
  Mdogo wako Bilal sjui ye yuko wapi,ila Binamu yako nae Kapindisha Mizengwe,hawa wanaa mini Kiranja wako Haji anawaponda na Binti yako Blandinda anawanyonya..
  Sasa basi tunakuomba sana,haistaili uingie kwetu(muhimbili)ila SEMA NENO MOJA TU NA ROHO ZETU ZITAPONA..
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nyie ndio mnatakiwa mfungiwe jiwe shingöni mtoswe baharini.mlipiga kura kama vipofu mnalalamika kama vichaa.
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  hana muda wala la kuongea ameamua kwenda kupumzika kelele zimemchosha
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Nguvu ya mamba kumai ...
   
 5. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kichwa cha nazzi kama kile hakiwezikukuelewa meeen
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  huyu bwana hafai kabisa yaani ameshindwa hata kukaa na kutoa tamko anamsukumia pinda ili yeye akija apindishe aonekana pinda ni kimeo aaaah
   
 7. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,863
  Likes Received: 2,788
  Trophy Points: 280
  Huyo mwehu wala hupaswi kutumia maneno ya Ekaristi takatifu, koma nyamb...f! Hilo zezeta litakuelewa saa ngapi? Bichwa limejaa maji hilo!
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  itumike lugha gani askie mkuu
   
 9. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tik tak
   
 10. piper

  piper JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisaaaa km ni mwana CCM ndo adhabu ya kumstahili, halafu cjui huwa wanatoka wapi, wanajipa umbumbumbu usowafaa, jitu utakuta linabangaiza maisha ni magumu lakini lina Mt-shirt na kofia ya chama kibovu kilichopanga ikulu, yaani dawa yao ni kuwatosa tu baharini, maisha ni magumu jamani asikwambie m2, damn ze CCM guyz to death

  • :alien:
   
 11. sikajiji

  sikajiji JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 581
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Si neni kwa niaba ya Rais Kikwete bali nanena kwa niaba ya nafsi yangu. Suala la kwanza madaktari waliogoma na ambao hawajagoma wanawajibika kwa nani? Nafikiri "udaktari" ni ajira kwa upande mmoja na kwa upande mwingine ni taaluma ambayo ndani yake kuna utu na ubinadamu. udaktari kama ajira waweza kugoma kufanya kazi uliyoajiriwa kwa hata mwezi mzima na kisha ukachukua mshahara kwa kazi ambayo haukuitekeleza ikiwa ni pamoja na mgomo baridi (hatua hii huongozwa na ID). Udaktari kama taaluma waliyoipata kutokana na kodi za wagonjwa wanaotaabika na wengine kupoteza maisha kwa kukosa huduma ni dhamana ambayo wanahitaji kuitumikia kwa hali zote hata ikibidi wao wapoteze maisha kwa ajili ya wagonjwa. Sasa hapa utaona mambo ni kinyume chake wagonjwa wanakufa kwa ajili ya madaktari - Uzalendo uko wapi? Tafakari hivi na wanjeshi wakigoma si tutakufa sote kwa ajili ya wanajeshi?! Haya na wakulima, walimu, wachungaji, maaskofu na mashehe( ambao nao kwa kiasi fulani kikubwa wako kimya badala ya kuwakemea wana kondoo wao ambao wamegeuka mbwa mwitu n.k. Chaos?! Sisi ni binadamu kwanza na hivyo kwa matendo yetu tuwajibike kwa aliyetuumba.
   
 12. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Umenena vyema
   
Loading...