Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
figo-1.jpg

Hivi kuna tatizo gani Blandina Nyoni kutumia lugha ya hekima kudeal na hawa ma daktari?

Hivi hii yote ni jeuri ya pesa alizotengeneza kuitapeli serikali alipoiuzia kwa bei ya kutisha ile software ya ASYCUDA?
 
yaani nimemtazama kwenye TV mpaka nikaskia kichefu chefu na huyu mama

nilifkiri anaandamwa bila mpango kumbe its true she is arrogant of the highest order
 
Huyu haendi kokote

Haji Mponda na naibu wake watangoka lakini huyu mama ataendelea kupeta tuuu

hiyo asycuda nyie mmejuaje?
 
Huyu mama si yule aliyewahi kuwa Ubalozini Canada? ni mhasibu huyu.

Iweje wizara ya Afya katibu wake mkuu kuwa Mhasibu? Je hakuna watu wa afya walioweza kushika wadhifa huo?

Poleni sana
 
yaani nimemtazama kwenye TV mpaka nikaskia kichefu chefu na huyu mama

nilifkiri anaandamwa bila mpango kumbe its true she is arrogant of the highest order

me 2, felt nauseated with this mindless, local woman
Blandina Nyoni, long time she is Nastyyyyy, dirty, most ugly, she has unprofessional behaviuor & ethics, ana macho ka bundi, hovyo kweli huyu, dawa yake fimbo tu, mmanina zake... She is arrogant, ignorant of first degree...
 
Huyu mama si yule aliyewahi kuwa Ubalozini Canada? ni mhasibu huyu.

Iweje wizara ya Afya katibu wake mkuu kuwa Mhasibu? Je hakuna watu wa afya walioweza kushika wadhifa huo?

Poleni sana

Bila kusahau ile KASHFA ya yeye kupeleka watu wake Ubalozini India
 
Mama huyu aliwahi kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali pale Hazina, akawa Katibu Mkuu Maliasili akawang'owa wakurugenzi waliokuwa visiki pale na sasa yuko Afya huko madaktari mtaipata
 
Huyu mama ana matatizo sana. Sasa hivi hata wafanyakazi wake pale Wizarani wamechoka hadi wamechakaa. Anawafanyisha kazi hadi saa mbili usiku akiambiwa awalipe Extra duty allowance hataki anasema Wizara haina hela wakati yeye, wakurugenzi wake, Naibu Waziri na Waziri wanajilipa Utilities kila mwezi.
 
Chapa kazi dada Blandina, usikate tamaa, watanzania watakuja kukuelewa, haiwezekani chama cha hiari MAT kutoa masaa ya wewe uachie ULAJI hiyo haiwezekani, wewe ni mteule wa JK
 
kwani alisemaje?? tupeni nukuu zake tujadili this is JF jamani msijisahau...
 
Ni matokeo ya akili ndogo za Viongozi wetu, Mhasibu wizara ya Afya, Mtaalamu wa Afya utamsikia mara Ulinzi mara elimu
 
Nyie si ndo mliopasua kichwa cha mgojwa kuunga mguu ulovunjika? Then mkachana mguu wa mgonjwa mwingine ili mumfanyie operation ya kichwa,hapo ingependeza wazir awe pombe magufuli au steven wasira ili washrikiane na mama nyoni kuwanyoosha,iweje mng'ang'anie kubaki muhimbili kwan huku mikoani tulipo kodi yetu haichangii kwenye mishahara yenu!!
 
Kweli kabisa; madaktari wakiboronga sawa lakini mtu mwingine akiboronga anashikiwa bango mpaka basi!! Kwani lazima wafanyie mazoezi Muhimbili Hospitali tu?
 
Nyie si ndo mliopasua kichwa cha mgojwa kuunga mguu ulovunjika? Then mkachana mguu wa mgonjwa mwingine ili mumfanyie operation ya kichwa,hapo ingependeza wazir awe pombe magufuli au steven wasira ili washrikiane na mama nyoni kuwanyoosha,iweje mng'ang'anie kubaki muhimbili kwan huku mikoani tulipo kodi yetu haichangii kwenye mishahara yenu!!

Hapo umenena.
 
Back
Top Bottom