Shellukindo adaiwa kuongoza uasi CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shellukindo adaiwa kuongoza uasi CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 8, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

  washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta.

  My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.
   
 2. double R

  double R JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 754
  Trophy Points: 280
  ala! vita vya panzi .........
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  source ni jambo leo
   
 4. J

  Jonas justin Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaweza kikawa kweli lakini kama serikali yetu inafanya ujinga lavima wapambane nayo...
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du!
  Kwa maana hiyo hakuna mwenye nia njema na wananchi wa Tanzania!~!

  RIP REGIA!
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  kwahiyo wanepata uwaziri wangekuwa kimya
   
 7. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Uasi wake ni upi. Mimina hapa ili tuwe na mapana ya kutosha katika kulielezea hilooo:A S-coffee:
   
 8. C

  Claxane Senior Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anasimamia msimamo wa jamii inayoteseka
   
 9. k

  kiche JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu mama mbona kigeugeu!!mifano ya kigeugeu chake ni kama ifuatavyo,mwanzo alikuwa anampinga lowasa,mara akatangaza rasmi kuwa yupo kambi ya lowasa,akaibua suala la jairo lakini lilipoletwa bungeni akaanza kutetea tena,sasa ameanza na singo ya kikwete apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye,na anaendeleza uasi dhidi ya serikali,kisa posho!!siku akiwekwa kati ajieleze ataanza kutafuta mlango wa kutokea!!nec ya tarehe 12 tunaomba ajieleze kama anao ubavu wa kujisimamia,na wanaomuunga mkono nashindwa kuelewa uwezo wao make mwisho wa siku watakosa maelezo.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  POLE
  Wewe ni nani kule NEC?
   
 11. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Properly nailed.
   
 12. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Has she changed side?
  The last time I checked she was with the invincible EL
   
 13. Sikafunje

  Sikafunje Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  [Inadaiwa kuwa Beatrice Shellukindo aka Jairo mbunge wa kilindi anaongoza uasi ndani ya wabunge wenzake wa CCM ili kuikomoa serikali kwa kuwa amenyimwa uwaziri.Shellukindo alikuwa na matarajio makubwa sana kupata uwaziri,alipoona ameukosa ameamua kula sahani moja na wale waliopo madarakani.

  washirika wake ni ole sendeka,Ane kilango,mwakyembe na Sitta. My take.hii ni chuki na hila ya kutaka wakose wote.]  Hoja hii haina mshiko, huyu mama hawezi kushirikaina na hao uliowataja kwani siyo kundi lake, huyo yuko kundi la Lowasa, ila ni kweli kwamba anafanya kazi ya kumwadhibu Kikwete kwa kutumiwa na huyo bwana, kumbuka alishawahi kusema kuwa rais ajae ni Lowasa kwa kumnukuu nabii mmoja wa Naijeria alikokuwa amekwenda huyo bwana kusafisha nyota yake. Hata kumsurubu Jairo ilikuwa ni mpango wao kwani walisikia tetesi kuwa ndiye anaandaliwa kuchukua nafasi ya Luhanjo. Sidhani kama huyo EL haumo katika sakata hili la mgomo wa madaktari!! wana JF lifanyieni kazi hilo najua anachekelea sebuleni kama siyo chumbani.
   
 14. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa, ogopa sana watu wenye uchu wa madaraka.
  Hadi alidiriki kusema wampigie Rais kura ya kutokuwa na imani kisa posho!
  kwenye suala la posho humwambii kitu, anataka laki 2 kwa nguvu zote
   
 15. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Haya rais wa migomo_tumekusikia.
   
 16. k

  kiche JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kutoa ombi si lazima uwe mshirika wa kikao,kumbuka baadhi ya wajumbe uwa wanapitia jamiiforums bila kumsahau nape,kuhusu pole naomba umpe mama shelukindo make anapoteza mwelekeo kwa jambo ambalo haliwezi,akiwekwa kati kujieleza atabaki kutumbua macho na kuomba msamaha.
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mtu yeyote anaeiasi ccm kwa wakati huu kwangu ni shujaa,iwe kwa maslahi binafsi au whatever.

  mungu akitaka kukusaidia anaweza kutumia hata jambazi ili mradi akutoe kwenye shida.

  mama shelukindo kama upo huku jf ni pm nikupe nondoz,watanzania wamechoka kuongozwa na serikali bubu,kiziwi,kiwete na kipofu.

  asante rm kwa kuleta huu uzi ili tumsapoti huyu ester mkombozi wa taifa la mungu.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa manufaa ya nani?
   
 19. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa bahati mbaya sio kwamba anaiasi CCM as a whole but Kambi iliyopo madarakani
  sasa anaelekeza nguvu zake kwenye kambi inayotarajiwa 2015 ili apate uwaziri
   
 20. F

  Froida JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Hilo gazeti limemusingle huyo mama kutaka kumfunga mdomo,kwa kweli umefika wakatai wa Mh.Jakaya Mrisho Kikwete kujiuzulu,aiache nchi ikiwa salama
   
Loading...