Na Saed Kubenea - Imechapwa 25 January 2012
Mkullo akana kusaini mkataba
SERIKALI imekana kuidhinisha mpango wa shirika la fedha duniani (IMF) unaotaka kuweka masharti ya ukopaji na...
Inasikitisha sana kuona baada ya mgomo wa madaktari uliosababisha baadhi ya watanzania kupoteza maisha yao pasi na hatia yoyote na wengine kuzidiwa na maumivu na wengine kulazimika kuingia gharama...
Mabadiliko sheria ya Katiba
Mwandishi Wetu - Raia Mwema
Dodoma
Freeman Mbowe na Rais Kikwete wakijadili Katiba mpya
Mabavu ya Rais yalindwa upya kwa mlango wa nyuma
CHADEMA, NCCR, CUF...
Mwenyekiti wa Chadema Mr. Mbowe amesema akiwa Marekani kuwa Mwanaidi Majaar ambaye ni balozi wa Tanzania ni mmoja wa waanzilishi na wadhamini wa Chadema. Amemtaja pia Daudi Balali kuwa alikuwa...
Wana jamvi
Hapa Dodoma kimenuka. JK kafika kutoka MWZ ili kuonana na wabunge. Wabunge wa CCM wakaitwa na kuingizwa ukumbini ili kumsubiri. Awali Katibu wao Jenester Mhagama alitoa tangazo kupitia...
CIA ya ni USA ambao ni viranja wakuu au "kaka" wakuu au "dada" wakuu wa dunia wana detailed database ya infromation ya nchi zote za dunia na watu wake na vingozi wake na siasa zake etc, etc...
Nafuatilia bunge,baada ya Kamanda Lissu kumaliza hotuba ya kambi rasmi juu ya marekebisho ya rasimu ya katiba bi mkubwa akasimama akasema 'huo ndo ukweli wenyewe na hao ndo wakweli tuwaunge mkono'...
Wadau,
Naangalia vita ya kisheria na kanuni za bunge kuhusu mabadiliko ya schedule ya muswada wa kurekebisha sheria ya mabadiliko ya katiba.
Tundu Lisu,AG,Spika na zito wanachuana vikali.
Kwa...
Jamani nani hasa anafaa kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki?
Nasikia Kuna Elishia Kaaya na Elirehema Kaaya.
Wanajimbo wa kule mara nyingi wanachagua bila vigezo,jee Elirehema atamshinda Elishilia
Nilitegemea kwa kiasi kikubwa Wazee wetu hawa wawe wameingilia kwa namna ya kipekee kabisa katika kusaidia kutatua mgogoro huu mkubwa wa Madaktari na Serikali ambao sidhani kama umeshawahi kutokea...
Wakuu heshima mbele,
Taarifa za uhakika kutoka Uzini zinaarifu kuwa CHADEMA imeliteka jimbo hilo,makundi ya watu kuanzia watoto,vijana,akina mama na wazee wanaunga mkono cdm,alama za V na neno...
Wakati wa uongozi wa rais mkapa aliweza kutumia madaraka aliyopewa pamoja na kuvitumia vyombo vya dola kwa kuviamrisha vifanye kazi za ziada ,kinachonishangaza rais wetu kikwete unashindwa...
Naangalia nyuso za Wabunge wanavyojidai kusifu changes za muswada huu wa kuunda tume ya katiba.
Kwa nini hawaoni aibu kwa kupitisha makosa ya wazi wakati ule, tena waliyoonyeshwa wazi na...
Mwandishi wa maneno haya ni mkatoliki anayejua uzito wa kauli ya baba askofu.Anapenda kuamini kuwa askofu ametoa msimamo wake binafsi na siyo tamko la kanisa wala maoni hayo siyo mafundisho...
Hivi kuna tatizo gani Blandina Nyoni kutumia lugha ya hekima kudeal na hawa ma daktari?
Hivi hii yote ni jeuri ya pesa alizotengeneza kuitapeli serikali alipoiuzia kwa bei ya kutisha ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.