Wana JF leo jamaa wanakunja posho na kuondoka,ila Jana walilaza Kiporo cha Mivutano kuhusu wakuu wa wilaya na Wakurugenzi,Tetesi ni Kwamba wote watabaki kwa Imani kuwa CCM(wakuu wa...
Its an important question, for skepticism toward all government(rather than reform of bad government) is not only common, but at the root of a couple of major political outlooks. And because...
Nimekuwa nikaangalia mambo yanaendelea hapa nchini na kushikwa na hamaa kubwa juu ya mwamko mkubwa ulioenea nchi nzima, ni jambo jema na la kushukuru wale wote walioshiriki na wanaoendelea...
Tar 30 Jan. waziri mkuu alitangaza kuwa madaktari warudi kazini, na kwa yeyote ambaye angepinga kutii tamko lile anakua amejifukuzisha katika sekta ya umma. Na aliahidi kuwa katika kupambana na...
Jana nilikuwa na akina mama ambao ni Wanachama wa CCM kwenye msiba wa ndugu yangu Kimara. Katika maongezi yao, wakaanza kuzungumzia Uchaguzi wa ndani unaoendelea hususan wa kuwapata...
Japo bado hatijafahamu kwa ukamilifu makubaliano ya Madaktari na Serikali lakini ni matumaini ya wote kwamba Makubaliano hayo yatakuwa yafaida kubwa sana kwa Madaktari wetu ukimjulisha kuwezesha...
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa madaktari wamesimamisha mgomo wao baada ya waziri mkuu Mizengo Pinda "kuwasimamisha" kazi katibu mkuu wa wizara ya afya Blandina Nyoni na mganga mkuu Deo Mtasiwa...
MAONI YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA SHERIA NA KATIBA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU KUHUSU
MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA
YA MABADILIKO YA KATIBA, SHERIA NA. 8...
Katika ukurasa wa 8 wa gazeti la |Mwananchi la leo tar 09/02/2012 kuna habari yenye kichwa cha habari CHADEMA: HATUIINGIZI NCCR BARAZA KIVULI LA MAWAZIRI,kwa muibu wa taarifa hiyo aliyetoa taarifa...
Hamisi Mwesi, Dodoma
HALMASHAURI ya Manispaa ya Dodoma, imetumia Sh54 milioni kulipa posho za walimu 133 wa shule za sekondari waliopangiwa kufanya kazi katika halmashauri hiyo.
Juzi walimu hao...
Inawezekana kabisa kwa sasa kila mtu akaona haya si mawazo sahihi kwa sababu ya kusikika kwa akina Magufuli, Lowasa na Mwandosya. Suala la Muungano wa nchi yetu ni tete sana kwa sasa na...
Mwandishi Wetu, Mbeya
BENKI ya Exim Tawi la jijini Mbeya, imetoa Sh13.3 milioni kwa wafanyabiashara wanawake 267 wa Soko la Sido lililotekea kwa moto mwishoni mwaka mwaka jana.
Akizungumza katika...
Wadau, kwa upande wangu vituko hapa nyumbani haviishi, sijui kama hawa watu tunawaita viongozi huwa wanafikiria vyema kabla ya maamuzi wanayoamua na kuulazimisha uma uamini ni sahihi na...
Unajua mkiwa wawili tu mahali fulani, mara ghafla hali ya hewa ya mahali hapo ikachafuka…aliyeichafua lazima atakuwa hana amani maana anajua hakuna mwingine wa kufikiriwa ila ni yeye.
Kwa...
Talib Ussi, Zanzibar
JUMUIYA ya Vijana ya CUF (JUVICUF), imeelezea kusikitishwa kwake kuhusu kufutwa kwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya skuli kadhaa za Zanzibar.
Jumuiya hiyo imesema...
Kwa mujibu wa mahojiano yatakayorushwa Jumatatu na ITV, Maalimu Seif Sharif Hamad (Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar), amesema yuko tayari kujiunga na Chama Cha Mapinduzi, ikiwa tu atapewa nafasi...
Habel Chidawali,Dodoma
MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Ludovick Utouh amesema serikali inafanya mambo bila mpangilio katika matumizi yake pamoja na kuanzisha mamlaka bila ya...
By The Citizen Reporter
and Agencies
Dar es Salaam. Wentworth Resources
yesterday announced a deal to sell
the Mtwara gas-fired power plant to
the Tanzania Electric Supply
Company, Tanesco...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.