Kwa maafikiano yoyote mtakayoafikiana na Madaktari inabidi mjiudhuru nyazifa zenu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa maafikiano yoyote mtakayoafikiana na Madaktari inabidi mjiudhuru nyazifa zenu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Feb 9, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,241
  Trophy Points: 280
  Kutokana na adha iliyojitokeza kwenye Hospitali ya muhimbili na bado inaendelea kugharimu maisha ya wananchi wanawake kwa watoto na wazee,nidhahiri tatizo hili limesababishwa na viongozi wa serikali kwa ukaidi wao hili ali wanajua kwamba Madakitari wana madi yao ni ya msingi,hivyo wanatakiwa wawajibike kwa kujiudhuru kwa kuanzia Waziri Mkuu,Waziri wa Afya,Katibu mkuu,kwa kukaidi madai ya Madakitari nakusababisha vifo visivyokuwa vya lazima kwa ukosefu wa huduma!Leo mnataka upatanishi na madakitari nilazima Serikali iwajibike!
   
Loading...