Msimamo wa JK juu ya mgomo

Mtelekezwa

Senior Member
Feb 6, 2012
109
23
jk yuko wap kutoa kauli au maamuzi ,juu ya hk kinachoendelea.au hafaham kinachoendelea au hayupo apa Tz
 
Atakuwa safarini tu! Hawezi kuwepo na akajifanya kimya kama yanayoendelea hayaoni na wala hayajui!!
 
haha haha....daaahhh yan huyu jamaa katka marais wote wa TZ uyu kazd kuboronga...
 
Yupo busy anaandaa marekebisho ya katiba ya CCM; maana yeye ni rais wa CCM na si watanzania; ndio maana anaangalia maslahi ya CCM na si Nchi.
 
Anashuglikia shule ya kurisiti mwanae Mwanahawa jk aloshka mkia feza girlz!
 
Mkia tena ? Akili hizi ni za mama au Baba ?Maana mzee wake ni DR wa ma Dr yeye vipi tena ?

Kwa kweli nadhani ni suala binafsi lisilofaa kujadiliwa JF lakini nimeangalia nikaona kumbe mtoto wake kweli kawa wa mwisho kabisa na yeye ndiye peke yake kapata DIV IV wenzake wote DIV I-III!
 
Jamani ushabiki sio mzuro, wanaokufa ni watanzania, hivyo madaktari na serikali wote wawe waungwana wafikie muafaka, ndugu zetu wanakwisha, nasikia hata madaktari wa emergency wanagoma tutapona kweli?Naomba busara za madaktari na serikali kumaliza huu mzozo
 
Kwa kweli nadhani ni suala binafsi lisilofaa kujadiliwa JF lakini nimeangalia nikaona kumbe mtoto wake kweli kawa wa mwisho kabisa na yeye ndiye peke yake kapata DIV IV wenzake wote DIV I-III!
Duh!!! hapo nilipo-underline; ndo unamaanisha nn mkuu!!! au unafuraia mtoto wa mkulu ku-fail??? punguza hasira kidogo mkuu!!!

Hiyo ni furaha hata kwangu kwani hawa jamaa wanaingia Ikulu ili waibe kodi zetu na fedha za wahisani ili wamalize matatizo yao ya kimaisha na watoto wao kumbe wanasahau kwamba pesa si suluisho kwa kila jambo bali ni education!
 
Ni Rais pekee ambaye huwa hana tabia ya kutatua migogoro...., huamini itaisha yenyewe pacpo yeye kuhusika...!
Mfano Ombwe la Uongozi hapa Tanzania, CCM, Ufisadi, Govt kushindwa ufanisi etc!
Hayo yote hayamnyimi usingizi, au kujisikia vibaya. Maadam ni Rais wa Tanzania, kwake inatosha kabisa.
Vyombo vya Dola vimemwahidi kumlinda kwa nguvu zote mpaka atakapo maliza muda wake 2015, hiyo hali basi kwake burudaanii tosha kabisa!

Hapa JFs na wapiganaji wengi wa nchini mwetu ndiyo tunaoumia na aina hii ya Uongozi, ambao hauna tija kwa Taifa zaidi ya Ulevi wa Madaraka, Ubabe na Vitisho.
 
aha aha aha.......Yani toto lake limekua lamwisho mtumeeeeee.........nadhani ataikifanyika sensa ya RAIS ovyo na ombaomba duniani lazima JK awe wa mwisho......like father like his baby gal.............
 
PINDA kashapasua jupu,unataka nini?.........au umetumwa na EL?????//
ushabiki wa mpira siyo sawa na masuala ya kuongoza nchi?????
 
jk yuko wap kutoa kauli au maamuzi ,juu ya hk kinachoendelea.au hafaham kinachoendelea au hayupo apa Tz

Kuna mwandishi mmoja wa habari aliongelea suala la nchi ya Tanzania kuongozwa kwa AUTO PILOT. Nadhani ndio hii tunayoshuhudia kwa sasa.
 
Kwa kweli nadhani ni suala binafsi lisilofaa kujadiliwa JF lakini nimeangalia nikaona kumbe mtoto wake kweli kawa wa mwisho kabisa na yeye ndiye peke yake kapata DIV IV wenzake wote DIV I-III!

Hata dingi yake mnamuonaje jamani kwa akiri aliyo nayo jk unaweza kumlaumu mtoto kweli?.Jk ni kilaza aliyebebwa na Nyerere sababu ya urafiki na bwana MRISHO KIKWE TE yaani baba yake jk.Mtoto kafuata nyayo za baba yake.
 
Back
Top Bottom