Sikiliza kikao cha Mbowe na Watanzania huko Marekani

Ndugu,


Zile dukuduku za wananchi zitakuwa zimepungua kama sio kuisha kabisa. Naomba walio/wanao/watakaomsikiliza wafikishe ujumbe kwa wengine kwamba CHADEMA hakuna udini, ukabira wala umasikini. Thank U BigPublisher
 
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kakimbia mgomo wa madaktari na kwenda kwa makuhadi wa ushoga.
 
Inawezekana vipi unawapigania wananchi lakini wakati huohuo unasafiri kwenda nje ya nchi huku nyumbani mgomo wa madaktari unaua wagonjwa?
 
Badala ya vipindi vya salamu za wasikilizaji, redio zetu zingekuwa zinarusha vitu hivi bana
 
Likaja swali toka kwa mwanamama aliyemtaka Mwenyekiti Mbowe afafanue tetesi ama shutuma kuwa Chadema ni Chama cha waChagga. Hapa
 
Inawezekana vipi unawapigania wananchi lakini wakati huohuo unasafiri kwenda nje ya nchi huku nyumbani mgomo wa madaktari unaua wagonjwa?

Mkulu alikwenda Davos akaunganisha na Addis Ababa wakati yeye ndie mwenye maamuzi au hukuona hilo !
 
CDM ikishika nchi basi majobless wote wa Arusha watapelekwa USA kusoma.
 
Back
Top Bottom