Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ndugu zangu watanzania na wana JF,kwanza nawasaimia popote pale mlipo!, baada ya kuona na kuzisoma thread mbalimbali humu ndani,zikihusiana na safari za mheshimiwa rais wetu JK.Nimetafakari na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tarehe ilyozaliwa CCM ni sawa kabisa na tarehe ya kuzaliwa kwa azimio la arusha mwaka 1967. Lakini cha kushangaza ni kwamba katika maadhimisho ya miaka 35 ya umri wa ccm hivi majuzi,kule jijini...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu mzee alikuwa akihojiwa ma TBC.Ameulizwa swali kuwa kwa nini wanarejesha muswada huo wakati ulipitishwa hivi karibuni.Wahasira akafura akasema serikali ndo imeona mapungufu na mtu yeyote...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanabodi, Waziri mkuu amensimamisha kazi Katibu mkuu wizara ya afya na Mganga mkuu. Bila kuangalia sababu za kumsimamisha kazi katibu mkuu, ukweli unabaki pale pale amensimamisha kazi. Kumbu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Source: Mzalendo.net I was keeping abreast with the latest developments in Tanzania by reading online content of the Mwanahalisi newspaper and an article titled ‘Chadema Yamtega Tena JK’ prompted...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muswada umepitishwa. Vifungu vilivyoletwa kwa ajili ya marekebisho ni kwenye ibara ya 6, 12, 13, 17, 18 na 21. Jumla ni vifungu sita. TUmejikita kwamba mjadala mkubwa ulhus kifungu cha Mkuu wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanahakatiwa waliokamatwa jana waliachiwa huru muda mfupi baada ya shinikizo kutoka kwa madaktar kuitaka polis bila masharti yoyote na hivyo polis kutii shinikizo hilo la madaktari.nawasilisha
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Naomba update wana JF mh JK YUPO NCHINI MAANA YEYE SAFIR ZAKE NYINGI NI WAKATI WA MATATIZO,FLUSH BACK
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA NA MADAKTARI WOTE NCHINI JUU YA MAAMUZI YALIYOFIKIWA LEO FEBRUARY 9, 2012 KUFUATIA MKUTANO KATI YETU NA WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA KATIKA UKUMBI WA CPL, HOSPITALI YA TAIFA...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kitendo cha wabunge kuikataa hoja binafsi iliyowasilishwa na Zitto Kabwe kuhusu zao la mkonge itatumika kama lungu na CHADEMA katika kuingia na kukijenga chama katika mikoa ya Tanga na Morogoro...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Ahmed Rajab KUFIKIA mwanzoni mwa mwezi wa Aprili mwaka 1964, kama miezi mitatu baada ya Mapinduzi ya Zanzibar, mambo Visiwani humo yalikuwa shwari. Hali ya kisiasa ilikuwa thabiti na hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hoja binafsi ya mbunge wa Mpanda Mjini Said Amour Arfi na ile ya mbunge wa Ubungo John Mnyika zimenyimwa fursa ya kuwasilishwa bungeni. Habari kutoka ofisi ya bunge hoja hizo zimezimwa kwa kuwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siasa za Znz zimekuwa zinatawaliwa na CUF na CCM. Vyama vingine havina chao kule. Pamoja na faraja tunayopata kuwa chadema wanafanya vizuri kule, mimi naona hata wakipata nafasi ya pili itakuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
jamani kile kizazi cha viongoz wa wananchi na viongoz wanaojali maslhi ya taifa kama "J.k nyerere na moringe sokoine (tanz), Kwame Nkurumah (Ghana),Madiba (SA),Paul Kagame (Rwanda)" hakipo tena au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MBOWE amesema kwamba wanakubali ili yaishe kwa lengo la kutengeneza katiba mpya kwa manufaa ya wananchi. Hata hivyo anasema wabunge wa CCM waache utaratibu wa kufunika kombe ili mwanaharamu apite...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kufuatitia maandamano ya amani yaliyofanywa na wanaharakati jana, leo polisi wamewatia mbaroni baadhi ya viongozi akiwemo Ananilea Nkya kwa madai kwamba walifanya maandamano bila kibali. Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili sakata lilishajadiliwa sana hapa JF kwa kuanza soma hapa: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/112298-brela-yakana-kuuziwa-software-tsh-1bn.html...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kitendo cha utungaji wa sheria bungeni kwa ile njia ya ndio na hapana ni demokrasia ya vyama vingi?sasa hivi bungeni imepita kipengele cha 17b kuhusu kuwahusisha DEO/DED/WEO/VEO kwenye mchakato wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanaume wameshindwa, Wakina mama Wameonyesha njia. Picha inajieleza !
5 Reactions
15 Replies
2K Views
`Wanabodi, Ule mjadala wa jana kuhusu marekebisho ya sheria ya marekebisho ya katiba, Yale Malumbano ya jana kuhusu matumizi ya ma DC au ma DED umemalizika rasmi!. Makubaliano hayo yamewakubali...
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…