Wanaharakati watiwa mbaroni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati watiwa mbaroni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by African American, Feb 9, 2012.

 1. African American

  African American Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufuatitia maandamano ya amani yaliyofanywa na wanaharakati jana, leo polisi wamewatia mbaroni baadhi ya viongozi akiwemo Ananilea Nkya kwa madai kwamba walifanya maandamano bila kibali. Mwenye taarifa zaidi atujuze wandugu.
   
 2. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa unauliza swali, au unaleta malezo? Mi sijakuelewa.
   
 3. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wanaacha kuwakamata mafisadi wanawakamata wanaharakati kweli polisi wamekosa kazi?
   
Loading...