Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa kuwa Mgomo wa Madaktari umesababishwa na Lowasa na sio Serikali ya JK na Pinda.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Mtoto wa mkulima Pinda kumuondoa katika Mganga mkuu wa Serikali Dr.Deo Mtasiwa kunatetesi kuwa majina yafuatayo kuna moja atapewa nafasi hiyo ni: Dr. S.M. Toure RMO Arusha...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Suala la muswada wa marekebisho ya sheria ya katiba ya mwaka 2011, kidogo liingize nchi katika machafuko. Watu walirushiana maneno, vitisho, na ubabe mwingi ulishuhudiwa bungeni na nje ya bunge...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Written by Nasikia kichefuchefu nikikumbuka muungano // 06/02/2012 // Habari // 46 Comments...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
MAONI YA MH. DAVID KAFULILA Habari Watanzania, Nina maoni tofauti kuhusu hiki kinachoendelea kuhusu marekebisho ya sheria ya kusimamia mchakato wa katiba mpya. Nimejaribu kuomba kuchangia ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba tujadili issue iliyokuwa raised. Hapa nilipo ninayo PPA lakini nadhani huko PPRA nako kumejaa ufisadi zaidi Dowans ruling bares Dar wabaya wenu ni hawa hapa nimeshindwa kupost picha zao...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanabodi, Hatimaye ile sintofahamu kuhusu kuwasilishwa kwa muswada huu wa marekebisho madogo ya ule ile sheria ya Tume ya kukusanya maoni ya katiba, itamalizika rasmi leo asubuhi hii kwa...
6 Reactions
253 Replies
17K Views
Ukweli ni kwamba tatizo lililopelekea mgogoro na mgomo wa madaktari ni uongozi mbovu wa Wizara ya afya. MAT (Chama cha Madaktari) walilenga kuelezea hali ilivyo ikiwamo kucheleweshwa posho za...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika sura inayoonyesha Pinda kaagizwa , hatupaswi kuwa na shaka na maamuzi yake kwani Mkulu yuko Ikulu (Magogoni) na Naibu Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Bw. Johnie Carsons kwa issue ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kikao kilichofanyika leo kati ya serikali na madaktari kimefikia mwisho kwa madaktari kukubali kurejea kazini kesho. Good news kwa watanzania hongera sana madaktari kwa kukubali kurudi kuwahudumia...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari toka mkutanoni kati ya waziri mkuu na madaktari zinasema waziri mkuu kawasimamisha kazi katibu mkuu wa wazara ya afya na mganga mkuu huku akimuachia rais kuwatimua waziri na naibu wake...
27 Reactions
261 Replies
25K Views
Kitendo cha wabunge waCCM kuendelea kutengeneza malumbano ya kuwakataa Wakurugenzi wa halmashauri na kulazimisha kuwa wakuu wa wilaya ndiyo wanafaa kuongoza tume ya kuratibu maoni na kuendeleza...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
pongezi zako kaka kwa kuwasilisha hoja binafsi juu ya zao la mkonge, in the very beggining umeona jinsi serikali inavyotaka leta siasa juu ya hili. ushauri wangu kwako: serikali imeshindwa simamia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi, Tanzania continued to sink into deeper dependence on donor aid. In 2011 Tanzania become the world's third largest recipient of aid after Iraq and Afghanistan. What is long with us!
0 Reactions
4 Replies
937 Views
Nitajikita zaidi na maamuzi ya PM Pinda kuwasimamisha Mganga mKuu wa serikali na Katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii, blandina nyoni. Nanukuu:" Sababu ya kuwasimamisha watendaji...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Boniface Meena WAFANYABIASHARA wa sekta ya nishati kutoka nchini Marekani juzi walikutana na Rais Jakaya Kikwete ili kuangalia fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta hiyo. Ujumbe huo wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Peter Saramba, Arusha HALI ya usalama katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Arusha ilikuwa tete jana, baada ya waliodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kuanzisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hali ambayo watu hawakutarajia, Ijumaa watumishi wa hospital Peramiho walitangaziwa kuwa tar 5 waziri wa wanawake jinsia na watoto angetembelea hospital na angependa kuona ward za watoto na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom