Jana katika kikao cha bunge cha jioni spika alisema,kwa uendeshaji bora wa bunge suala lililozua mjadala juu ya nani ashirikiane na kamati maalum ya kukusanya maoni juu ya katiba mpya katika ngazi...
Wana JF malumbano yalikuwa ni mengi sana wakati wa mchakato wa maandalizi ya kuelekea utayarishaji wa katiba mpya,Je Rais J . K Kikwete amefanya kile ambacho watanzania wanakitaka?
Leo, hoja ya Zitto kuhusu mkakati maalum wa kufufua zao la mkonge na ile ya January kuhusu umuhimu kulinda wapangaji zinawasilishwa bungeni. Je zitapita? Kwa mtazamo wangu, kuna uwezekano mkubwa...
Ukweli ni kwamba tatizo lililopelekea mgogoro na mgomo wa madaktari ni uongozi mbovu wa Wizara ya afya.
MAT (Chama cha Madaktari) walilenga kuelezea hali ilivyo ikiwamo kucheleweshwa posho za...
Nafasi ya katibu Mkuu blandina Nyoni itajazwa na Regional Health Secretary hawa wafuatao
1. Mr Makambila Regional Health Secretary (RHS) Morogoro
2. Mr B. Nalya RHS DSM
3. Mr K. Mhagama RHS Iringa...
Wadau leo asubuhi Waziri Wassira alikuwa anahojiwa TBC1 kuhusu muswada wa marekebisho ya sheria ya mchakato wa Katiba unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni. Cha kusikitisha na kutia aibu ni kwamba...
Hivi ingekuwa tumebanwa sana kiasi cha kuandika katiba mpya ikabidi tubadili tu kitu kimoja. Je, wewe ungependa kitu gani/jambo gani moja lishughulikiwe na katiba mpya?
Najua ni ngumu lakini...
Napenda kuandika Andiko hili kuhusiana na mwelekeo wa taifa letu, hii inatokana na uzalendo na mapenzi ya dhati niliyonayo kwa taifa hili na watu wake, sehemu ya kwanza umuhimu wa familia na...
JF tushamngoa Blandina sasa inabidi tuhamishe majeshi kwa Mary Nagu na yule babu cha uzingizi
Na wala msipate taabu kutaka kuleta hoja za kisomi nyie leteni madudu yao tuyaanike kisha tuhamie...
Kukimbilia kujiuzulu siyo suluhu sana ya tatizo. Kwasababu kama ni hivyo, watu wanaweza kuharibu mambo kwa maksudi wakitegemea watajiuzulu na kukaa pembeni."
Alieleza kwamba hadi jana jioni...
Ile kesi ya kupinga matokea ya ubunge wa Arusha mjini iliyofunguliwa na Musa mkangaa na wenzanke zidi ya kamanda Godbless Lema, mkurungezi wa manispaa ya Arusha na mwanasheria itaanza kuunguruma...
Ndugu zangu,
Ijumaa ya jana, tena asubuhi na mapema, nilisoma kichwa hicho cha habari kwenye gazeti la Mwananchi la mtandaoni . Kinavutia. Kinaacha tafsiri nyingi.
Habari hiyo ilitokana...
JINAMIZI la mgomo wa madaktari bado linaendelea kuitafuna serikali baada ya jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na wanaharakati kutoa matamko mawili tofauti wakitaka Waziri wa Afya...
Ndio Tanzanite One ilitakiwa ifungashe Virago ifikapo March 2012. Hii ni kutokana na sheria ya mabadiliko ya madini iliyotokana na Tume ya Jaji Mark Bomani na Zitto.
Sasa Tanzanite oNe wanauza...
Ni katika msingi huo, NCCR- Mageuzi kama chama cha siasa ambacho asili yake ni madai ya katiba mpya kuanzia uasisi wake kwa maana ya Kamati ya Taifa ya Madai ya Mabadiliko ya Katiba (National...
Wakuu nimekuta hii mada kule www.mjengwablog.com ikionyesha tofauti kati ya matendo ya CCM na CHADEMA. CCM wakitembea wengi pamoja yao wanayaita matembezi ya mshikamano,lakini yale ya CHADEMA...
Wakuu nimeshangazwa na kitendo cha AG kutetea adhabu ya matumizi ya fedha haramu kubakia kama ilivyopendekezwa na seriklai ambayo ni kifungo kisichozidi miaka mitatu au faini isiyopungua sh mil...
JINAMIZI la mgomo wa madaktari bado linaendelea kuitafuna serikali baada ya jana, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na wanaharakati kutoa matamko mawili tofauti wakitaka Waziri wa Afya...
Kafulila auponda, asema bado una matundu makubwa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
KAMBI ya Upinzani Bungeni, imeunga mkono mapendekezo ya Serikali katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya kusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.