viongozi wazalendo wako wapi....??

mr.kifather

Member
Feb 10, 2012
83
16
jamani kile kizazi cha viongoz wa wananchi na viongoz wanaojali maslhi ya taifa kama "J.k nyerere na moringe sokoine (tanz), Kwame Nkurumah (Ghana),Madiba (SA),Paul Kagame (Rwanda)" hakipo tena au bado hakijakomaa au watanzania hatujakipa nafasi kwa kuogopa mabadiliko..????
 
Back
Top Bottom