Live Bungeni: Mbowe kwa niaba ya kambi ya upinzani wamekubali yaishe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live Bungeni: Mbowe kwa niaba ya kambi ya upinzani wamekubali yaishe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 10, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  MBOWE amesema kwamba wanakubali ili yaishe kwa lengo la kutengeneza katiba mpya
  kwa manufaa ya wananchi. Hata hivyo anasema wabunge wa CCM waache utaratibu wa kufunika
  kombe ili mwanaharamu apite.

  Hii ina maana kwamba ma DC na ma DED watahusika wote kwa pamoja katika mchakato
  wa kukusanya maoni ya katiba mpya.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Amekubali katiba mpya kubakwa na wakuu wa wilaya?
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa nini tunaingiza siasa katika suala hili la katiba? tuelewe kwamba hawa watu ma DC na ma DED ni watumishi wa serikali.
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunawasubiri mtaani waje na upupu wao!
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Mbowe amezungumza kwa busara sana sana. Na amekubali wakuu wa wilaya waingie ndani ya marekebisho. Tunashukuru sana Mbowe kwa uzalendo wako na kukubali compromise sio kubisha kila kitu

   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  amekubali nini? mkuu wa wilaya?
   
 7. t

  thengoshahimself Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeonyesha kwamba cdm mko kwa ajir ya marthiano ya kiataifa kitu ambacho chama cha magamba hawana hata km ni kwa kwa manuafaa ya chama wao wanaweka ya kwao mbele, let us wait and see;
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh hebu weka wazi amekubali nini sasa, kwamba katiba ibakwe na CCM au?
   
 9. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hivi ni kweli mbowe amewasahau wakuu wa wilaya au anafanyeje sasa maana hawa watu ni wavurugaji wakubwa sana kwanza katiba mpya ilikuwa isiwatambue sasa utawatoaje maana huwezi pendekeza wasitambuliwe huku wakiwapale
   
 10. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mtu atakuwa kaibiwa ID hapa. Mtaniambia.
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Huyu ni member wa kamati ya Siasa ya CCM ya wilaya.
   
 12. k

  kwamagombe Senior Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kikubwa hapa ni kuwaomba ma DC na Wakurugenzi kuacha ushabiki wa kisiana kama upo linapokuja swala la Katiba, wawe fare kwenye huu mchakato na ndio maana hata Serikali ilipoleta huo mswada Bungeni uliwatoa ma DC
   
 13. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo sinema ndiyo imeisha?
   
 14. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To be honest Mbowe kaonesha utofauti wa hali ya juu sana leo hekima na busara aliyotumia ni cha kiwango cha juu. Hongera sana Mhe. Aikaeli Mbowe
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  angefanyaje sasa mana mwisho wa siku wangeambia wanaokubali maDC waingizwe waseme ndiyooooo (ccm) wasiokubali waseme siooooo (chadema) lazma watakaosemda ndiooo watashinda kwa wingi wao
   
 16. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Amekubali kulisariti taifa na chama.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huu ndiyo ukomavu wa kisiasa.
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  imekwisha kabisa wewe jipange tu kupeleka maoni yako kwa DC au DED
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Thread inajieleza yenyewe na kama una akili timamu huhitaji kuuliza swali kama hili. Ubakaji unaujua wewe usituletee up**zi wako hapa.
   
 20. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hata angekataa ingepita 2, lakini wamekubali ku2mika wawili yani mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa wilaya. Nampongeza mh mbowe.
   
Loading...