Wanaharakati waliokamatwa waachiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndulungu, Feb 10, 2012.

 1. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanahakatiwa waliokamatwa jana waliachiwa huru muda mfupi baada ya shinikizo kutoka kwa madaktar kuitaka polis bila masharti yoyote na hivyo polis kutii shinikizo hilo la madaktari.nawasilisha
   
 2. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  good move; naona nchi inaanza kuchangamka sasa... with time mambo yatanyooka tu
   
 3. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hureeeeeeeee tumethubutu, tumeweza tunaleta mabadiliko!
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Niliposikia wameandamana nilijua kuwa waliandamana kuwashinikiza madaktari waingie kazini, kumbe walikuwa wanatimiza uanaharakati wao.
   
 5. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ulimboka noumer...
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa kutoka 10,000/= hadi 25,000/=. sawa lakini hata hiyo inafaa tu.
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni habari njema na tunaona sasa kuwa nguvu ya umma imeanza kufanya kazi.
   
 8. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  hao wanaharakati nao waache kudandia gari kwa mbele, wanavizia wakati madaktari wamekomaa na kupata mafanikio nao eti wanataka waonekane wameshiriki? walikuwa wapi tangu kunji linaanza zaidi ya mwezi uliopita? siasa za opportunism!
   
 9. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
   
 10. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Safi,na muda si mrefu tutaandamana khs kupanda kwa gharama za maisha
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa hilo sinabudi kuipongeza serikali kwa kutumia busara, kwani kuendelea
  kuwashikilia wanaharakati ingeamsha wanaharakati uchwara kibao na wangewakuta
  mtaani na mabango ya kushininkiza kuwatoa hao wanaharakati original
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,338
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  yaani walikuwa wamewakamata hadi sasa hivi ? lol...laana hiv i ndio maana watoto wao wanazunguka kwenye mitihani ya taifa
   
 13. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  waliachiwa jana hiyohiyo baada ya ulimboka kutoa neno...
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Wewe ni Kilaza bin Kihiyo ! Mwezi upi huo unaousemea? Kunji was less than three weeks
   
 15. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yai siku zote huwa yai tu...................
   
 16. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usihofu mkuu, kwakuwa watu bado hawaoni tunakoelekea ngojea iran achapwe na israel utaona
   
 17. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani wakaka naombeni tujadili hoja sio kun inbox mia anaume yenyewe mijoga hata maandamano haishiriki hehehehehe. I am serious don't inbox me bad stuff
   
 18. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mmh, avatar inaweza kuwa inachangia labda
   
 19. S

  STRONG GIRL Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wewe kakalende naona hauko makini kufuatilia taarifa, takribani wiki tatu wanaharakati wamefanya kazi kubwa sana kwa kuongea na madaktari, serikali na kutoa matamko mbalimbali kuishinikiza serikali kuwasikiliza madaktari na kuwapa wanachokitaka, juzi wameandamana na kuipa serikali masaa kadhaa ichukue hatua lasivyo watahamasisha watanzania wote kuandamna kesho yake yani jana serikali imechukua hatua madaktari wamerudi, kama wao waliandamana wewe unadai wamedandia, hebu tueleze wewe umefanya nini kuhakikisha madaktari wanarudi, wapuuzi kama nyinyi mnaishia kuropoka na kuponda hata kile kidogo kinachofanywa na wenzenu kusaidia wanyonge huku mkishidwa kuchukua hatua yoyote, ni lazima tuwapongeze wale wote waliosimama kutetea madaktari naona wewe umetumwa na mzee wa upako
   
 20. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona tutafika tu,baada ya madaktari sasa tunafuata vijana maisha yako juu mno na watu ajira hamna,hizo za kujiajiri bila hata mtaji wapi nawapi,na ole wake kijana ambae hatashiriki.Kwa hapa mwanza tutakaa pale stendi ya zamani(tahirir square)mpaka bei ya vitu ishushwe.mda na ni lini mta be updated.so stay tuned
   
Loading...