Chadema Ikiwa ya Pili Uzini Itakuwa Ushindi Mkubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Ikiwa ya Pili Uzini Itakuwa Ushindi Mkubwa!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ibange, Feb 10, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Siasa za Znz zimekuwa zinatawaliwa na CUF na CCM. Vyama vingine havina chao kule. Pamoja na faraja tunayopata kuwa chadema wanafanya vizuri kule, mimi naona hata wakipata nafasi ya pili itakuwa ushindi mkubwa sana na itakuwa ni dalili mbaya sana kwa CUF. Wakipata nafasi ya pili katika sehemu ambayo walikuwa hawatambuliki kabisa, itakuwa wamefungua ukurasa mpya wa kuiteka Znz taratibu. Wana CUF wasipomwondoa Seif na kufanya mabadiliko makubwa, naiona CUF inakufa maana chama ni kama hakipo. Seif amepata anachotaka chama kwake kinaonekana si muhimu.
   
 2. a

  abumaza Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wewe ni LIBANGI AU BANGI? Uchaguzi haujafanyika, wewe umeanza kutoa matokeo. Ama kweli vilaza humu JF wamejazana.
   
 3. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Watakwa wamepiga hatua, so itakwa ni njema pia...)
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hakuna cha ushindi wa pili kwa chadema. Uzini kwa chadema ccm mshindi wa pili.
  Wapiga kura wa Uzini wameamka, wamechoka kuongozwa na wezi!
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Lazima mabadiliko yatokee tu!
   
 6. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Duu! Mwenye data atutonye,,hali ikoje,kampeni zikoje nk..
   
 7. i

  ibange JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kilaza ni wewe unayekurupuka. Hapa nimejaribu kueleza possibility ya chadema kushinda au kuwa ya pili kwa taarifa tunazopata huko na implication yake kisiasa. Kuandika maneno ya kuudhi inakusaidia nini?
   
 8. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mshindi kuwa wa pili?
  hata kwa kura 1? kweli watoa mada wengine mbumbumbu.
   
 9. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  baada ya kuona ushindi hakuna mnaona hata namba 2 poa?
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi CCM wakiweka mgombea Zanzibar, na CUF nao wanaweka? Hawaviolate makubaliano?
   
 11. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,765
  Likes Received: 6,090
  Trophy Points: 280
  Jamani Igunga tulikuwa tunapata PICHA na UPDATES kila mara. Jamani mlioko huko hebu tupeni raha.
   
 12. M

  Malolella JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwani Uzini kuna uchaguzi wa nini? Kuna Mbunge alikufa au alijivua gamba?
   
 13. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Mbona uchaguzi uliopita ilikuwa ya pili??. Kabla ya kuleta hoja kuwa na data za uhakika, la sivyo utakuwa kilaza
   
 14. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana naibu katibu mkuu CDM ZNZ ndugu Hamad, kasema kama kura zingepigwa jana tarehe ya 09/02/2012 Chadema kingeshinda kwa asilimia 70%, wangefuatiwa na Magamba kwa mbali, akaendelea kusema Leo tarehe 10/02/2012 Kamanda Zitto Zuberi Kabwe anatimba Uzini kuongeza nguvu, akaendelea kusema kesho tarehe 11/02/2012 Kamanda wa Anga Freeman Mbowe pamoja na Kiboko ya Mafisadi Dr Slaa watatimba kwa pamoja kungeza mapambano. Viva Chadema, Viva Wanzazibar kwa kutambua tumaini jipya ni Chadema
   
Loading...