Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi bila ya wanahabari na wabunge wa upinzani na hata wanaharakati hii nchi ingekuwaje? nadhani ufisadi na ubabe ungetisha. PIA nampongeza sana Mheshimiwa Rais Kikwete kwa kuukubali ukweli kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mimi nawashangaa watu na taasisi zinazomkomalia waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu kwa hako kamgomo ka wiki tatu.jaman mbona watu wengi tu wamevurunda hatuwaulizi?kwanza mwaka jana tuu,matokeo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jana tulipewa taarifa humu na wanajami kuwa Nyoni ameachishwa kazi, taarifa zile ni za upotoshaji kabisa kilichotokea ni kuwa amepewa likizo ya lazima kupisha uchunguzi, na kama iliyozoeleka na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kauli mbiu çcm na serikali yake maisha bora kwa kila mtanzania tuliyo haidiwa tume kwisha yapata au wana subiri uchaguzi ufike waje na kauli mbiu nyingine ili kutu danganya ili wapate kura za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
One thing am sure of, they just cant kill us all so that they enjoy the riches of this country but thats their biggest ambition!
0 Reactions
1 Replies
777 Views
ila sijui kama viongozi wa taifa ili na vyama vya kisiasa kama wana roho hai.au pengine hawajui ugumu wa maisha ya mtanzania.tazameni star tv kipindi cha medani za kisiasa na jamii,wananchi...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Wakuu Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge Arusha mjini imeanza kusikilizwa,baada ya kujitoa kwa Jaji Aloyce Mujuluzi.Jana upande wa mashtaka ulianza kutoa ushahidi,ambapo shahidi wa kwanza Musa...
3 Reactions
97 Replies
8K Views
One thing am sure of, they only fear to kill us all and enjoy everything!
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Watanzania tupo? Tujifunze kutokana na shida tunazozipata, serikali inatufanyia nini? Tupo wapi kutokana na ilani ya chama tawala. Naamini ilani ya chama imetokana na wanachama husika na basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Nimepitia katika blogu ya Michuzi na kukuta hizi picha but no news..! Kuna mwenye 'Leaks' za mkutano huo, yaani kilichoongelewa na makubaliano atujulishe??. Maana siyo kawaida kwa JF...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kufuatia kupitishwa kwa SHERIA ya marekebisho ya KATIBA leo Bungeni, Mh. Kafulila atoa maoni yake akitofautiana na maamuzi yaliyopitishwa leo. Mh. Kafulila ameandika waraka huu akiufafanulia UMMA...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau juzi wakati CCM ikisheherekea miaka 35, Mr Lukuvi ambae anajiita mlezi wa CCM mkoa wa Mara alikuja Musoma na kuandaa mkutano maeneo ya nyakato, Ndugu zangu huyu jamaa alichoambulia ni aibu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Taarifa za uhakika nilizonazo kutoka Morogoro, ni kuwa viongozi wa Baraza la vijana Taifa (Bavicha), Bw. John Heche(mwenyekiti) na Bw. Deogratius Munishi(Katibu Mkuu) wapo mjini humo katika...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kila kiongozi wa Cuf alipokuwa anaongea na media kuhusu uchaguzi wa igunga akiwemo Mtatiro kauli hii ilitumika! 'TUNA MTAJI WA KURA 11000' wakaishiwa ktk uchaguzi.je arumeru mashariki bw. mtatiro...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa jinsi mgomo wa madaktari ulivyochukua muda mrefu huku serikali ikisusua hata kukwepa kuongea nao zaidi ya kuwatisha, kuna watu waliokufa kutokana na hili. Hakuna ubishi kuwa waziri mkuu...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
  • Closed
hivi huyu Hamad Rashid ni kiongozi wa serikali au nani?? yaani mi sijamuelewa kabisa...(note:msianze kuniuliza source hapa...na kuattach kwenyewe sijui basi mtamwambia PAW aiweke vizuri bana)
0 Reactions
108 Replies
13K Views
Saturday, 11 February 2012 09:01 Rais Jakaya Kikwete HOFU YA WAPINZANI KUCHUKUA NCHI YAZIZIMA, WABUNGE WAKE WAPINGA MABADILIKO YA KATIBA NDANI YA CHAMA Waandishi Wetu, Dodoma MSUGUANO...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
MOU imesainiwa leo kati ya serikali, wilaya ya Babati na Hospitali ya Dareda iliyo chini ya Jimbo katoliki la Mbulu, hii ni kuwezesha wananchi kupata huduma nafuu na walio chini ya miaka 5...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
kama kuna waziri mkuu vitasa waliowahi kuipitia nchii basi wewe ni kitasa kibaya ambacho hata waweke surlii akikamati kabisa kwenye mlango...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu Heshima. Hapana shaka mambo kadhaa yanayolitikisa taifa kwa sasa kwa umuhimu wake kwa wananchi na taifa kwa ujumla yameasisiwa na vyama vya upinzani na baadhi ya mambo hayo yanaonekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom