Fate ya waziri mponda vipi?Mh Rais yupo nchini au amesafiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fate ya waziri mponda vipi?Mh Rais yupo nchini au amesafiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tyadcodar, Feb 10, 2012.

 1. t

  tyadcodar Senior Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naomba update wana JF mh JK YUPO NCHINI MAANA YEYE SAFIR ZAKE NYINGI NI WAKATI WA MATATIZO,FLUSH BACK
   
 2. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Yupo nchini; kama kweli atamuwajibisha Mponda mimi naahidi kesho yake kujitambulisha humu kwa jina langu halisi na kisha kuoga mchana pale mnara wa askari (Samora Avenue).
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i THINK JK ANA ISSUES ZAIDI YA INCOMPETENCE, HAIWEZEKANI THE WHOLE ISSUE AKAE KIMYA
   
 4. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kuna maneno huwa nakumbuka, "tuliomba rais, tukapewa Kikwete"
  kimya chake kimenifanya nizidi kumtambua kama Kikwete zaidi badala ya Rais!
   
 5. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 341
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Tetesi nilizozisikia ni kuwa Dr Mponda alipeleka barua ya kujiuzulu lakini Mheshimiwa J K kaikataa. Hataki kuoneka kuwa anapelekwapelekwa.
   
Loading...