CCM,mbona hakuna aliyeitaja birthday ya Azimio la arusha huko kirumba

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Tarehe ilyozaliwa CCM ni sawa kabisa na tarehe ya kuzaliwa kwa azimio la arusha mwaka 1967.
Lakini cha kushangaza ni kwamba katika maadhimisho ya miaka 35 ya umri wa ccm hivi majuzi,kule jijini mza hatukumsikia kiongozi au kada yeyote akilitamka AZIMIO LA ARUSHA ambalo pia lilikuwa linatimiza miaka 45.
Je hiyo ilikuwa ni ishara ya ccm kuwa sasa chama cha kibepari ambacho kinawakumbatia mafisadi,na hivyo hawataki hata kulisikia azimio hilo kwa hofu ya kuwaamsha watanzania wanaoumia???
Source n professor kamata ndani ya kipima joto ITV jioni ya tarehe 10/02/20112
 
Mpe credit prof anaehojiwa ktk kipima joto ITV Ivi sasa pamoja na prof safari na michael aweda bcoz umechukua mle,uwe creative bro..japo mi ni chadema pure ila acha kupora mada za watu
 
Mpe credit prof anaehojiwa ktk kipima joto ITV Ivi sasa pamoja na prof safari na michael aweda bcoz umechukua mle,uwe creative bro..japo mi ni chadema pure ila acha kupora mada za watu

Nilichokifanya ni ufafanuzi kwa kina na si copy and paste kama uanavyodai wewe.nimeiweka hii ili ukweli huu wausome hata wale ambao hawakupata nafasi ya kuangalia kipindi husika,
Na hii si kwa manufaa ya cdm bali kwa wazalendo wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom