Mgomo wamadaktari: Pm na double standard? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wamadaktari: Pm na double standard?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nguruvi3, Feb 10, 2012.

 1. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Waziri mkuu amensimamisha kazi Katibu mkuu wizara ya afya na Mganga mkuu. Bila kuangalia sababu za kumsimamisha kazi katibu mkuu, ukweli unabaki pale pale amensimamisha kazi.

  Kumbu kumbu zinaonyesha kuwa Ndugu Jairo alikuwa katibu mkuu wizara ya Nishati kama alivyokuwa Blandina Nyoni wizara ya afya. Wote hawa huteuliwa na mamlaka ya Rais.

  Waziri mkuu aliwahi kusema kuwa hawezi kumshugulikia Jairo kwasababu yeye si mamlaka iliyometua. Fair enough!
  Utata unakuja pale ambapo Waziri mkuu amemsimamisha kazi Blandina Nyoni tukijua kuwa si mamlaka iliyomteua.

  Hapa kuna uwezekano sijaelawa jambo au nimeelewa vibaya. Naomba msaada wenu
  Je, hii si double standard?
   
 2. Dickson Ng'hily

  Dickson Ng'hily Verified User

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Kwani yale mkulima aliyoyasema yalikuwa yanatoka kwake!...Hana jeri hiyo na hana mamlaka hayo....C ulisikia alivyokuwa anaumauma maneno..'Eti inabidi hawa wapishe uchunguzi'...Anataka wao wapishe na sio kuwa "Ninawasimamisha ili kupisha uchunguzi"...Afu si hawa wamepewa likizo!Wanasubiri appointment ingine...Hawafanyi kazi ila mshiko wanaendelea kuupata kama kawa...
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pinda nilishamtoa maanani,kimsingi serikali inajikanganya sana
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hapa kuna schools of thots nyingi, na kila moja ina element ya Ukweli ndani yake, Ipi ina nguvu zaidi is what matters. However hii issue kuweza elewa vizuri which side to take, soma upya hotuba yake ambayo ilikua ina insinuate kama jibu kwa madakatari dhidi ya msimamo wake (wao) towards mgomo wenyewe; unganisha Maamuzi na matendo ambayo ni recent yalopelekea kusmamisha kazi kwa Bi. Nyoni bila kusahau the driving forces ya both. Sometimes kama Mtanzania wajiuliza can I dare say what am thinking out loud? Sad.
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280

  • Mkuu, Pinda yupi unamwongelea, huyu Mizengo Kayanza Peter Pinda au mtu mwingine!
  • Pinda aliyeteuliwa na Kikwete kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mwaka Februari 8, 2008?
  • Pinda aliyelalamika na kumwaga machozi bungeni hoja ya mauaji ya Albino ikijadiliwa?
  • Pinda aliyedai kuwa nchi ingeyumba kama serikali ingejaribu kuwashughulikia mafisadi?
  • Pinda aliyewapa madaktari siku tatu warudi kazini au wajihesabu wamejifukuza kazi?
  • Pinda...

  Pinda huyu!
  (au double wake!)

  [​IMG]

  The shadow knows best!
   
 6. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Ni baada ya mkanganyiko huo ndio nikaone nichukue japo moja. Ni kweli kabisa kuna mambo mengi sana ya kujiuliza ukifuatilia yaliyotokea. Huwa naona kama nchi inaendeshwa kwa mitishamba
   
 7. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  • Pinda huyu huyu aliyesema katibu mkuu sio mamlaka yake
   -Pinda huyu huyu alimsimamisha katibu mkuu
   
 8. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Heri ya hao wanaopisha uchunguzi wakisubiri ubalozi, Boss wa Pinda yeye anawazawadia 'ustaafu' wahalifu wote! Hii nchi kama inakwenda kwa solar !
   
 9. m

  marijanda Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  PM hajawasimamisha bali walisha simamishwa na rais but yeye kaleta tangazo kwamba wamesha simamishwa kazi na sio kwamba kawafukuza yeye.
   
 10. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Kama ni huyu huyu aliyeagiza madaktari kutoka jeshini blah, blah...hakuna tena cha ajabu hapo. Ili mtu kama Kikwete aendelee kubaki madarakani, lazima watu kama Pinda waendelee kuwapo. Kuwapo kwa the Pindas ndani ya serikali (to do the dirty work) kunampa Kikwete legitimacy and breathing room to do what he is best at, clowning. Matokeo yake ni kama hivi tunavyofanya sasa, badala ya kuongelea utendaji (or lack of) wa Raisi, Mrisho Jakaya Kikwete, tunamwongelea Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda! And to imagine we fall for it everytime as has been the case for the last seven years, is pitifully sad!
   
 11. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Mbona amesema Waziri na Naibu watawajibishwa na mamlaka na akaongeza kuwa ameshatoa taarifa kwa mamlaka husika.
   
 12. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #12
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Guess what, JK ni msanii sana! mambo yangelikuwa mazuri ungemuona akitabasamu, inapotokea kuna ugumu anamsukumia PM. Ni kweli kuwa tunacheza ngoma na kumsahau mpiga zumari.
  To be honest Kikwete is a big failure of himself and nation as whole. I can't imagine 4 more year!
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  kaka umeua!
  Binafsi bado nina madai kwa Pinda, amejidai kuwajibisha watu wakati yeye mwenyewe hajaomba radhi kwa kashfa zake dhidi ya madaktari, hasa la kuwatisha kuwafukuza kazi ndani ya muda mfupi na kisha kuupotosha umma kuwa serikali inaweza kufanya cover up ya madaktari waliwatisha kuwafukuza.
  Hajaomba radhi kwa Dr. Stephen Ulimboka as an individual, kwa kuanika profile yake, na kudai kuwa si dakitari ilhali hao ambao yeye anawaona ndio madakitari (pamoja na Deo Mtasiwa, MD), ndio waliomuamini Dr. Ulimboka na kumpa uongozi ndani ya MAT kisha baadae kwenye kamati ya kufuatilia madai ya madakitari.
  Kwangu bado hajafanya chochote...
   
Loading...