Waziri Mary Nagu kumbe alipewa mgao wa Software mbovu ya BRELA?

autopilot

Member
Jan 30, 2012
44
61
Hili sakata lilishajadiliwa sana hapa JF kwa kuanza soma hapa:


https://www.jamiiforums.com/busines...98-brela-yakana-kuuziwa-software-tsh-1bn.html


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/113774-mawalla-advocates-yaijibu-jamii-forums-2.html

Kisha soma hapa:

https://www.jamiiforums.com/busines...597-mahingila-of-brela-another-dodgy-ceo.html

Nyeti ni kuwa kumbe kwenye Mgao waziri wa Biashara Mama Mary Nagu alipewa na yeye mgao wake na hakuuliza kitu

Mpaka leo software ni mbovu

simple company name search ambayo inatakiwa iwe free watu wanachaajiwa 30,000

Ku register kampuni online haiwezekani

Kufanya returns online haiwezekani

Dr Mary Nagu alipoulizwa hili swali majibu yake ni kuwa "BRELA IS THE MOST EFFICIENT AGENCY IN TANZANIA"

Kumbe behind the scene mama na watu wake walipata kamisheni zao kwa style ya Blandina Nyoni

sasa leo ni ijumaa lakini stay tuned....
 
Baba mwizi, mama mwizi lazima watoto watarithi tabia ya wizi! Hakuna msafi CCM!
 
i have been always wonder why this lady is still in the minister position? despite of her incompetence!! anahama wizara tu lakini angalia anchokifanya toka awe waziri katika wizara mbalimbali!!
 
Back
Top Bottom