Kitendo cha utungaji wa sheria bungeni kwa ile njia ya ndio na hapana ni demokrasia ya vyama vingi?sasa hivi bungeni imepita kipengele cha 17b kuhusu kuwahusisha DEO/DED/WEO/VEO kwenye mchakato wa katiba mpya.Imefikia mahali Mbowe amelazimika kushawishi wabunge wa upinzani kukubali yaishe je hii ni dalili nzuri kwa sisi wapenda maendeleo na mabadiliko ya dhati?