Kwa hoja hii CCM wanaijengea nguvu CHADEMA Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hoja hii CCM wanaijengea nguvu CHADEMA Tanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dullo, Feb 10, 2012.

 1. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha wabunge kuikataa hoja binafsi iliyowasilishwa na Zitto Kabwe kuhusu zao la mkonge itatumika kama lungu na CHADEMA katika kuingia na kukijenga chama katika mikoa ya Tanga na Morogoro.

  Katika hili ambalo ni mbinu ambayo watu wa CCM hawakujua kama wameingizwa mkenge kwa kukataa kutetea maslahi ya wakulima wa mkonge Tanga hivyo inaweza ikawajenga na kuwapa hojaCHADEMA za kuingia nazo nazo mkoa wa Tanga.


  Nawasilisha
   
 2. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Ni kweli mkuu! Yaani huyu jamaa Mbunge wa Korogwe mjini amenikera kweli....Sasa ye anaiktaa hoja kwani ye ni serikali? By the way Hoja yenyewe imelenga maendeleo tena na wakazi wa jimbo lake wangefaidika.
  Yaani mtu unatumia muda mwingi kui'crash hoja ya mwenzio badala utumie muda huo kujenga hoja za Msingi!
  Idiot..
   
 3. k

  kyoga Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  huyo mbunge wa Korogwe haoni mbali mawazo yake anafikiri anamharibia Zitto kumbe anajibomoa mwenyeye na chama chake
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  kuna wabunge wapumbavu kweli yaani ..posho inasababisha apige kitu ambacho kinaenda kusaidia wananchi wa jimbo lake. si ni upumbavu huu ..masikini weee wananchi hawajui hata kinachoendelea bungeni.
   
 5. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa cha kufanya ni kwenda kuandaa maandamano jimboni kwake na kumbomoa kabisa maana hayuko kwa maslahi ya wananchi, anashindwa hata na mganga wa kienyeji anajua kujenga hoja.
   
 6. w

  wakwetu 2 Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nilikua siamini kwamba cccm awataki wananchi wa Tanzania watoke kwenye dibwi la umaskini lakini kwa hili la leo nimesadiki, Mbunge anapinga wazi wazi na kukataa hoja ya msingi na yenye mantiki kwa jamii na Taifa kwa ujumla inashangaza na sijawai kuona lakini leo nimejionea na kusikia da da inasikitisha sana, Tungeongeza uzalishaji wa mkonge tungeludia kuwa nomber 1 producer kama ilivyo kuwa awali na hata umeme ungezalishwa kwa mabaki ya katani, sijui tumelogwa au??:A S embarassed::embarassed2:
   
 7. j

  jigoku JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
   
 8. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Zito pia amekuwa akizungumzia zao la korosho, nadhani hii mbinu ya kupata uungwaji mkono katika mikoa ya kusini!
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawa hawawakilishi wananchi wanawakilisha chama kwa hiyo usishangae sana!
   
 10. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu jigoku hapa wananchi wa Tanga inabidi wachanganye za kwao na za kuambiwa, CCM haifai tena kwa maendeleo yao
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Profesa maji marefu = Prof. Tall Water.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huyo mbunge wa Korogwe aanze mawasiliano ya karibu na profesa maji marefu, maana kurudi mjengoni 2015 itakuwa tabu! Hivi CCM hawakuona hawakujuwa kama wanafigunga goli?
   
 13. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280

  Mkuu hapo Zitto alicheza kete moja maridadi sana, Kukataa au kukubali kwao kusingesaidia maana both would have effects. Kama wangekubali lazima ingekuja hoja kwamba jamaa wa ccm wanaongozwa na CDM, wakaona ngoja wakatae bila kufikiria kwa undani kumbe ndo wamejimaliza zaidi.
  Wahenga walisema Heri nusu shari kuliko Shari kamili..:poa
   
 14. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Alipewa hela ya kampeni na Mohamed Enterp na ndio anamiliki Mashamba
  a
   
 15. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni wabunge wachache sana wa CCM wanaoweza kusoma alama za nyakati na wengi wao ni vigumu sana kurudi katika uchaguzi ujao wa 2015,hivi mbunge unapinga hoja ambayo inaonesha kuwanufaisha wananchi ambao wamekupa kura kuwawakilisha unadhani ni akili ya kawaida/Kwangu mimi ni upuuzi kupinga kila kitu ambacho wapinzani wanatoa kisa tu eti ni upinzani,kweli wabunge wengi wa CCM ni vilaza.
   
 16. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  wakuu maoni yenu yooote! Nimeyakubali kweli kweli.ccm na wabunge wao hawana mtazamo wa mbali,mtazamo wao ni wa karibu sana,kwani wakitegwa mtego mdogo,huwa wananaswa woote hata wale wanaodhaniwa kua ni wazoefu wa muda mrefu. Nawapa pole wananchi waliowapigia wagombea wa ccm.
   
 17. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi ni kada kabisa wa ccm lakini leo bungeni imani imenitoka na kesho narudisha kadi
   
 18. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tuambie kile ambacho kitakufanya urudishe kadi ya CCM?
   
 19. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Mimi nahisi wamekataa hoja ya Zitto kwasababu waliahidiwa kwenye Kampeni mwaka 2010 kuwa Tanga itakuwa ni mji wa viwanda! Hivyo hawana haja ya kuhangaika kukuza zao lao la asili la mkonge!
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Aina ya wabunge walioko kwenye lile bunge mnawaona! Wamechoka hoi hawawezi hata kusoma page tatu za karatasi watatusaidia nini?
   
Loading...